Kanisa la Wasabato lawatimua wachungaji wanaopinga fundisho la Mungu wa utatu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa wanaopinga fundisho la utatu yaani Mungu mmoja ndani ya watatu unaendelea kwa kasi ndani ya kanisa la Wasabato

Hivi majuzi mchungaji mmoja huko Ethiopia ametumbuliwa rasmi kwa kuvuliwa wadhifa wake wa kiroho hii ni baada ya kupinga kuwa Mungu Yu mmoja ndani ya watatu.

Kwa mujibu wa kanisa la SDA wanaamini kuwa Kuna MUNGU MMOJA : BABA, MWANA, na ROHO MTAKATIFU , Umoja wa NAFSI 3 za milele.

Nimeambatanisha nakala ya barua husika kwa rejea yenu.

Karibuni kwa maoni Je Mungu ni mmoja kwa maana ya SINGLE au Mungu ni mmoja kwa maana ya WATATU?

Fahamu Fundisho Utatu MTAKATIFU kwa ufupi:

Doctrine of the Trinity defines one God existing in three Coequal, Coeternal, Consubstantial divine persons, God the Father, God the Son (Jesus Christ) and God the Holy Spirit, three distinct persons (hypostases) sharing one essence/substance/nature (homoousion).

Fundisho la Utatu linafafanua Mungu mmoja aliyeko katika nafsi tatu za Uwiano, Milele, Miungu ya Kiunganishi, Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo) na Mungu Roho Mtakatifu, nafsi tatu tofauti (hypostases) zinazoshiriki kiini/kitu/asili moja (homoousion).

Mchoro unaoelezea fundisho la Utatu
A compact diagram of the Trinity, known as the "Shield of Trinity". The Shield is not generally intended to be a schematic diagram of the structure of God, but it presents a series of statements about the correlation between the persons of the Trinity.
 
Attachments

  • 1695385617107.jpg
    1695385617107.jpg
    51.9 KB · Views: 5
  • 1200px-Shield-Trinity-Scutum-Fidei-English.svg (1).png
    1200px-Shield-Trinity-Scutum-Fidei-English.svg (1).png
    28.7 KB · Views: 25
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa wanaopinga fundisho la utatu yaani Mungu mmoja ndani ya watatu unaendelea kwa kasi ndani ya kanisa la Wasabato

Hivi majuzi mchungaji mmoja huko Ethiopia ametumbuliwa rasmi kwa kupinga kuwa Mungu Yu mmoja ndani ya watatu.

Nimeambatanisha nakala ya barua husika kwa rejea yenu
Safi sana timua mashoga hao ndani ya kanisa la Mungu
 
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa wanaopinga fundisho la utatu yaani Mungu mmoja ndani ya watatu unaendelea kwa kasi ndani ya kanisa la Wasabato

Hivi majuzi mchungaji mmoja huko Ethiopia ametumbuliwa rasmi kwa kuvuliwa wadhifa wake wa kiroho hii ni baada ya kupinga kuwa Mungu Yu mmoja ndani ya watatu.

Kwa mujibu wa kanisa la SDA wanaamini kuwa Kuna Mungu mmoja: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa Nafsi tatu za milele.

Nimeambatanisha nakala ya barua husika kwa rejea yenu.

Karibuni kwa maoni He Mungu ni mmoja kwa maana ya single au Mungu ni mmoja kwa maana ya watatu?
ivi MUNGU yupo mmoja mm huwa najua kuna MUNGU watatu.
 
Back
Top Bottom