okKwa hilo cheko mchukue tu bwashee 😭
Kwa uchunguz wangu ni kua bandama zako zimejam😂😂😂😂
🤭🤭😁Naona I'd za MTU mmoja Zikishindana kuandika emojis za kicheko
Weka mafuta ya taa kwenye chakula pia jitahidi upande mwendokasi au daladala ubambiebambie tatizo litaisha.😂😂😂😂
Umenote ni mtu anapost afu anacheka na id yake nyingine? VAR checkMkuu kama nilivyosoma michango ya wengine , na mimi nahitimisha kusema ufanaa udinywe tu bwashee 🤔