Mchekeshaji Mzee Shayo amemkosoa vikali Coy Mzungu, akimtuhumu kuwanyonya vijana kwa manufaa yake binafsi na kudai hafai kuitwa game changer wa ucheshi nchini. Shayo amesema game changer halisi katika comedy ni Diamond Platnumz, akishangazwa na tuzo aliyopatiwa Coy Mzungu.
"Siwezi Kumtofautisha...
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu.
Kila lakheri kwake.
Outlander ni moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.