wakuu mke wangu kaniletea babyboy.....

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.
 
.....hongera kaka,

Pampers,
SMA/S-26 milk powder,
Baby wipes,

....bajeti imeongezeka.
 
Hongera mkuu Safety last kwa kupata mtoto wa kiume
mwenyezi Mungu akupe busara na hekima katika malezi ya mwanao na amkuze katika afya tele na furaha
 
Last edited by a moderator:
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.

Hongera sana mkuu, umekua 'Faza' sasa!
 
Hongera kaka!
mpe jina la utani Mwekundu ili kuienzi jamii forum! naomba kuwa baba yake wa ubatizo kama ni RC! let God bless him!!!!!!!
mpe hongera shemeji mwambie baba wa ubatizo wa mtoto namtaka amshukuru Mungu!!!!
 
Back
Top Bottom