wakuu mke wangu kaniletea babyboy.....

wakuu mke wangu kaniletea babyboy.....

Hongera sana baba domi,, Mungu awaongoze kwa malezi mema.
 
Hongera sana kwa kufikia stage ya kuitwa baba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.

Hongera sana,Mungu akupe hekima ya kumtunza bby
 
Hongera sana kaka! !!!!!!
Muumba awakuzie Mr Domie!!!!!

Kama nakuona umembeba saa tisa za usiku kagoma kulala na.ukimuweka chini analia!!!!!!
Salama kwa mama Domie!!!
 
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.

Hongera sana mkuu.. Sasa hapo ndo udhihirishe kuwa una sifa za kuwa baba kwa kumpa malezi yanayostahiki...
 
Hongera sana kaka! !!!!!!
Muumba awakuzie Mr Domie!!!!!

Kama nakuona umembeba saa tisa za usiku kagoma kulala na.ukimuweka chini analia!!!!!!
Salama kwa mama Domie!!!

thank you mkuu, mtoto kulia siunajua ni sehemu ya makuzi..asante bana
 
Hongera sana mkuu. Mungu Awabariki katika kumlea mtoto wenu vizuri!
 
Back
Top Bottom