Wakuu kwa dar wapi ntapata suti nzuri za harusi?

Japo sijajua uko wapi lakini suti unapata nzuri,pia kuna mafundi wazuri sana wanashona mpaka za dukani hazioni ndani. Lakini fuata ushauri mzuri ili kufanikisha azma yako, achana na watoa mapovu!
 
suti za laki 3 au 4 ni zile ambazo ziko kwa sale mkuu kitu kamili laki 8 mapaka ml kathaa ati
 
QUkUJlVWHfrggqPKEnr5

J.Ferrar men's suit separates in gray sharkskin keep you current, yet classic. Two-button jacket: peak lapel side vents Flat-front pants: hemmed polyester/viscose Five-button vest: polyester-lined back Available in sizes: 34, 36, 38, 40, 42, 44, 46, 48. Available in colors: Gray Shark. Available from JCPenney.
magnifIcon.gif
$25.00
Shop for more Men's Suits from JCPenney
 
Hivi mtu anapokushauri ukanunue ya chini ya laki tatu, inakuwa kejeli??..

Bora Snow umesema sie tunajua kuna suti hadi za mil2 sasa tunamshauri kwanin anunue ya laki3 then harusi ikiisha ana madeni kibao kodi ya nyumba hela ya kula etc wakati kuna altenative ya kununua suti ambayo haizidi hata elfu 20 na akatokelezea nenda k/koo au karume nunua suruali ya buku 6,koti lake 12 elfu na singlend ya buku 2 baasii hyo laki 280 itakusaidia hapo baada ya harusi
 
Ndugu wadau, hivi ni lazima upost kwenye uzi ambao hauna taarifa iliyoombwa? Mbona mtu kauliza kulingana na matakwa na uwezo wake kama hauna taarifa si ukae kimya kwani ni lazima utoe majibu ambayo yanamkashifu mwana bodi humu? Kama uzi upo kinyume na interest zako pita tu, waachae wenye taarifa za msaada waje atoe. Ni mtazamo tu lakini, msijenge chuki.
Back to topic:
Mdau unaweza pita JD fashion Morogoro Road Mbele kidogo ya Kisutu!

Kwanini asijaribu na maduka ya "Michael Wambura" kwa jina siyajui,ila ni Kinondoni Muslim nadhani,au akiulizia atapata.. Miaka mi5 nyuma ilikuwa 200,000/- suti ya maana kabisa!
 
Suti laki 3? Usimkufuru mungu nunua suruali ya elfu 6 na koti lake la elfu 12 na singlendi ya buku 2 hyo change ya 280k itakusaidia kwenye kodi na hela ya kula baada ya harusi.

Hhahaaaaaa mkuu umenipa raha sana
 
Kama kikwakwa mwenyewe ana mapepe yake na hiyo ndoa mpya,au harusi,basi awasiliane na "Diamond" atamjulisha duka analofanya shopping...
 
Last edited by a moderator:
hongera kwanza kukaribia kuachana na ukapera.bora ushone af koti liwe single button,kola iwe ya rangi ya nguo atakayovaa wifi yetu{bb harusi}UTAPENDENZA SANAAAAAAAA na utatoka wa kitofauti
 
suti laki 3-4? kweli wewe unacheza. nenda pale souls keko utapata chini ya hapo. jifunze kuishi maisha ya kitanzania. Nenda kijijini kwenu uangalia ndugu zako wanavyo ishi ndo uende kununua suti laki3-4.
 
Suti laki 3? Usimkufuru mungu nunua suruali ya elfu 6 na koti lake la elfu 12 na singlendi ya buku 2 hyo change ya 280k itakusaidia kwenye kodi na hela ya kula baada ya harusi.
Hahahaha harusi ni tukio muhimu Jamani. Hiyo bei ni reasonable kama anaimudu.
 
tusidanganyane suti ni zilezile tofauti tu,maduka yani kariakoo suti kali mpaka laki moja,hiyo hiyo suti mlimani city laki 5.so usiogope laki nane,hiyo ndoa unafungia mbinguni,hiyo suti ni ya gold?


Uko sahihi mkuu. Mimi maisha yangu nafanya shoping kariakoo. Huko kwingine ni mbwembwe tu na for sampling naenda mlimani city,mwenge kinondoni kuangalia vitu vipya na kupiga picha... Then naenda kuchukua kariakooo. Huko kwingine mnawasaidia tu kukuoa kodi za nyumba na wanauza bei kubwa koz sales zao ni ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom