Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,699
- 11,298
Japo sijajua uko wapi lakini suti unapata nzuri,pia kuna mafundi wazuri sana wanashona mpaka za dukani hazioni ndani. Lakini fuata ushauri mzuri ili kufanikisha azma yako, achana na watoa mapovu!
Mafundi michosho tu wanashona vizuri lkn kero tupu unafuatilia utafikiri unashona bure.Wanakera sana mafundi