Wakuu kwa dar wapi ntapata suti nzuri za harusi?

nenda karume sokoni au pale urafiki big brother kuna suti nzuri za mtumba na utapata kwa bei rahisi acha mambo yako ya hollywood eti suti ya 300,000/=
 
Ndugu wadau, hivi ni lazima upost kwenye uzi ambao hauna taarifa iliyoombwa? Mbona mtu kauliza kulingana na matakwa na uwezo wake kama hauna taarifa si ukae kimya kwani ni lazima utoe majibu ambayo yanamkashifu mwana bodi humu? Kama uzi upo kinyume na interest zako pita tu, waachae wenye taarifa za msaada waje atoe. Ni mtazamo tu lakini, msijenge chuki.
Back to topic:
Mdau unaweza pita JD fashion Morogoro Road Mbele kidogo ya Kisutu!
 
Laki 3 unapata suti hata Mlimani City, waliochangia kwa kejeri ni wavaaji wa jeans za shilling elfu kumi kumi, wasikuvunje moyo.
Ukiwa tayari nipm nitakuelekeza na maduka mengine pale Posta unapata suti kwa laki 3 safi kabisa.
 
we si unavaa jinzi za laki laki
 
Watu mna wivu! acheni roho mbaya zenu, kama nyie laki tatu
ni mshahara mwenzenu ukute ni posho ya kikako kimoja. acheni wivu!
 
Laki 3 unapata suti hata Mlimani City, waliochangia kwa kejeri ni wavaaji wa jeans za shilling elfu kumi kumi, wasikuvunje moyo.
Ukiwa tayari nipm nitakuelekeza na maduka mengine pale Posta unapata suti kwa laki 3 safi kabisa.

asante kwa wote mlioonyesha moyo wa kunisaidia,na kwa mlio toa kashfa badala ya msaada asanten pia,lakini kmbken dharau hazifai hamjui kwanini niliuliza hivyo,labda niwape jibu sina ufahamu na bei za suti na kwakuwa mmeonyesha kudharau kiwango cha pesa nilichotaja basi naomba mnitajie bei mnazozijua nyie na mmoja wenu kati ya aliyetoa mchango kwa kejeli ani pm ili anipeleke nkanunue hiyo suti na gharama zote za kunipeleka huko ntamlipa.
 
Hivi mtu anapokushauri ukanunue ya chini ya laki tatu, inakuwa kejeli??..
 
asante kwa wote mlioonyesha moyo wa kunisaidia,na kwa mlio toa kashfa badala ya msaada asanten pia,lakini kmbken dharau hazifai hamjui kwanini niliuliza hivyo,labda niwape jibu sina ufahamu na bei za suti na kwakuwa mmeonyesha kudharau kiwango cha pesa nilichotaja basi naomba mnitajie bei mnazozijua nyie na mmoja wenu kati ya aliyetoa mchango kwa kejeli ani pm ili anipeleke nkanunue hiyo suti na gharama zote za kunipeleka huko ntamlipa.
Hao wote waliokukejeri hakuna hata mwenye shape ya kuvaa suti, Jeans zao ni za Kariakoo buku kumi kumi ndio maana wanaongea kejeri, tunaovaa suti tunafahamu bei zake na shilling laki 3 unapata suti ya ukweli kwenye maduka yenye majina hapa Dar.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom