Msaada: Nitapata wapi maroba kama yale wanayowekea mkaa

Mkuu nenda Kisemvule Mkuranga kuna viwanda vya viroba utapata kwa bei rahisi

Pia jifunze kutumia artificial inteligence unaweza kuiuliza maswali kama haya na ikakupa list ya suppliers na mahali walipo na contact zao

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom