Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,544
- 23,844
Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral Interview tuliofanya tarehe 10 June kada ya Social Workers na Community Development Officers. Je, tutarajie PDF lini?