Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,733
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.

Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?

Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18.

Kipi ni kipi
 
Utakuwa ni kilaza mkuu, Kadogosa kaacha TRC mshahara zaidi ya milioni 30 per month kaenda kwenye ubunge, siku unaapishwa unapewa milioni 120 ya gari, mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa nusu, posho kwa siku laki 6, mshahara milioni 18, bado safari za nje, vikao vya kamati, rushwa kwenye kamati n.k, mwisho wa siku unalipwa pension milioni 400 ndani ya miaka 5 tu na kazi yenyewe huendi kila siku ni usanii tupu na kugonga meza unataka MUNGU akupe nini? ubunge kwa Tanzania ni zaidi ya kumiliki mabasi 30 ya mchina.
 
Kwamba Makonda hana uwezo wa kuwa Kiongozi ni mtazamo wako, sio wake. lakini sababu za mtu kupenedelea kuwa Mbunge badala ya RC ni pamoja na
1. RC anateuliwa, na anamuwakilisha aliye mteua. Anaweza kuondolewa wakati wowote pia
2. Mbunge anachaguliwa na anawakilisha wananchi
3. Mbunge ana job security ya miaka 5
4. Mbunge anakuwa na Kinga
5. Mbunge anakuwa na pesa ya Jimbo. Pia ana mshahara, allowances and madeal mengine kama kamati nk. ambayo ni bora zaidi kuliko ya RC
6.Mbunge ana nafasi kubwa zaidi ya kujiendeleza kisiasa, hususan kama ana malengo ya kushika nafasi za juu za kisiasa, mfano Uwaziri, au cheo kingine cha juu hapo baadae
 
Utakuwa ni kilaza mkuu, Kadogosa kaacha TRC mshahara zaidi ya milioni 30 per month kaenda kwenye ubunge, siku unaapishwa unapewa milioni 120 ya gari, mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa nusu, posho kwa siku laki 6, mshahara milioni 18, bado safari za nje, vikao vya kamati, rushwa kwenye kamati n.k, mwisho wa siku unalipwa pension milioni 400 ndani ya miaka 5 tu na kazi yenyewe huendi kila siku ni usanii tupu na kugonga meza unataka MUNGU akupe nini? ubunge kwa Tanzania ni zaidi ya kumiliki mabasi 30 ya mchina.
Wizi mtupu... Alafu wananchi wakipewa t-shirts, pikipiki, baiskeli, ubwabwa na pombe wanaridhiikaaa!
 
Ukuu WA mkoa ni full time job wakati ubunge ni part time lakini pia ukuu wa mkoa muda wowote aliekuteua akichukia anakuona wakati ubunge baada ya kushinda unalamba asali miaka5...Nani anataka kuishi na waha masaa24 Kwa siku. Mbunge wa kigoma muda mwingi Yuko town lakini mkuu WA mkoa kutoka Hadi amuage
 
Utakuwa ni kilaza mkuu, Kadogosa kaacha TRC mshahara zaidi ya milioni 30 per month kaenda kwenye ubunge, siku unaapishwa unapewa milioni 120 ya gari, mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa nusu, posho kwa siku laki 6, mshahara milioni 18, bado safari za nje, vikao vya kamati, rushwa kwenye kamati n.k, mwisho wa siku unalipwa pension milioni 400 ndani ya miaka 5 tu na kazi yenyewe huendi kila siku ni usanii tupu na kugonga meza unataka MUNGU akupe nini? ubunge kwa Tanzania ni zaidi ya kumiliki mabasi 30 ya mchina.
Uzi ufungwe sasa
 
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.

Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?

Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18.

Kipi ni kipi
Mshahara wa Mbunge unaweza kuwa juu wa mkuu wa mkoa ,ila sasa lijapo swala la malupulupu ,mkuu wa mkoa sio mchezo na ikatokea akawa fisadi utashangaa .

Nashangaa sana hiweje mkuu wa mkoa kwenda Gombea jimbo!

Jibu mkuu wa Mkoa ni mteule anaweza lala kesho yake yupo korido , vyeo vya kuteuliwa ni vya kijinga sana .

That's lazima tuwe na katiba mpya inayowahakikishia wateule nafasi hasa wizara nyeti vinginevyo hatuwezi kutoboa.

Mfano yule naibu waziri wa afya , alikua chadema then ccm ,je unafikili hawezi kuwa mmoja wapo anaewaunguza wenzao katika baraza la mawaziri? Mtu wa haina hii vyoyote vile utakaa nae kwa machale sana
 
Utakuwa ni kilaza mkuu, Kadogosa kaacha TRC mshahara zaidi ya milioni 30 per month kaenda kwenye ubunge, siku unaapishwa unapewa milioni 120 ya gari, mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa nusu, posho kwa siku laki 6, mshahara milioni 18, bado safari za nje, vikao vya kamati, rushwa kwenye kamati n.k, mwisho wa siku unalipwa pension milioni 400 ndani ya miaka 5 tu na kazi yenyewe huendi kila siku ni usanii tupu na kugonga meza unataka MUNGU akupe nini? ubunge kwa Tanzania ni zaidi ya kumiliki mabasi 30 ya mchina.
Acha uongo baba ,TRC hawalipwi hiyo labda wizi hata mil 10 haifiki.

Yeye ni mkurugenzi hapewi mshahara labda posho na mafunzo ya nje anafikisha.
 
Mshahara wa Mkuu wa Mkoa ni Mkubwa. kulipo wa mbunge , mbunge analingana mshahara na mkuu wa wilaya.
Faida za Ubunge ambazo RC hana na ndio maana unaona ma RC wanakimbilia kwenye Ubunge. Ukiwa Mbunge wa jimbo unaweza :-
1. Kuwa Waziri Mkuu hivyo kupata mshahara mkubwa wa waziri mkuu na marupurupu kibao hadi unapokufa.
2. Kuwa Spika ,au naibu spika hivyo kupata mshahara mkubwa wa spika au naibu spika na marupurupu kibao hadi unakufa.
3. Kuwa waziri au naibu waziri hivyo kupatamshahara mkubwa wa waziri au naibu waziri .
4. Security of tenure , ukishachaguliwa kama mbunge waliokuchagua hawana uwezo wa kukutoa kwenye nafasi hiyo hadi atakapomalizamuhula wake wa miaka 5 ,ila anayemteua mkuu wa mkoa anaweza akamtengua wakati wowote atakavyojisikiakufanya hivyo.
6. Mbunge ana marupurupu mengi kulipo mkuu wa mkoa hususani perdiem na sitting allowances
 
Acha upuuzi, kwamba GD wa TRC halipwi amekuwa Mwenyekiti wa board? kumbuka tuna watu wanafanya hapo ni ndugu na wengine tumesoma nao
Nioneshe ,utachekwa kama ni taasisi ambao ina mishahara midogo na inaendeshwa kikoloni hiyo ni mamba mbili.

TRC hawawezi kutoa mshahara labda kuanzia July ,katika wizara ya uchukuzi nahisi ni Taasisi ya mwisho kwa mishahara ...Haiwezekani maneja alipwe chini ya mil 5 , wakurugenzi wa vitengi waje mpaka mil 7 halafu ..Halafu DG apewe mil 30, tafuta watoto wa kuwadanganya.

Hiyo niliyokutajia hawafiki pia ,unakuta meneja yuko mil 3.5
 
Utakuwa ni kilaza mkuu, Kadogosa kaacha TRC mshahara zaidi ya milioni 30 per month kaenda kwenye ubunge, siku unaapishwa unapewa milioni 120 ya gari, mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa nusu, posho kwa siku laki 6, mshahara milioni 18, bado safari za nje, vikao vya kamati, rushwa kwenye kamati n.k, mwisho wa siku unalipwa pension milioni 400 ndani ya miaka 5 tu na kazi yenyewe huendi kila siku ni usanii tupu na kugonga meza unataka MUNGU akupe nini? ubunge kwa Tanzania ni zaidi ya kumiliki mabasi 30 ya mchina.
Umewahi kuwa mbunge wa jimbo au wa kuteuliwa ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom