Wakuu hapa kuna mimba?

Mimba hyo kaka subri tu mda atakuambia dariri zingne..
Kama 22 march ndo alitokamo na ukalala nae tarehe 2. Tukipga mahexabu hapo zinalenga kweny siku za hatari.
Pia hongera unaenda kuitwa baba tena utapata mtoto wa kiume kutokana na kalenda inavosema.
 
Chungulia hapa
 

Attachments

  • IMG_2032.jpeg
    40.5 KB · Views: 11
Before Sex huw nauliza maswali mawili.

Moja huwa najiuliza mimi.. lingine namuuliza mhusika.

1. Je huyu naekulana nae, ikitokea la kutokea je anafaa kuwa Mke wangu? Je anafaa kuwa Mama wa Watoto/Mtoto wangu?.

2. Baby upo safe?

(Binafsi condom kwa kwel siziwezi)
 
πŸ˜…, First question iko πŸ’―,
Second question nashauri uadvance kidogo uwe unatembea na kipimo, it's for your own Health πŸ˜…
 
Wanawake wapi hao tena boss, mimba haijifichi, mke akinasa utagundua tu. Kabla vipimo vya nyumbani havijaja iligundulika sembuse sasa hivi unajipima nyumbani?
Nakuelewa boss inaonekana una elimu nzuri sana ya kijamii, ila kwa bahati mbaya sana kwenye suala la kuwatambua wanawake bado huko nyuma.

Ila naamini ipo siku utatambua kuwa so nice kwa wanawake kunafungua njia ya wao kukuchezea akili, na ndio maana nikakutaja wewe na mwenzio hapa, maana comments zenu huwa zinajionesha nyie ni wanaume wa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…