Wakuu hapa kuna mimba?

Kivipi mkuu sijakuelewa unamaanisha kuna muda ambao sio sahihi kupima?

Muda mzuri ni asubuhi mkojo wa kwanza. Na sababu yake kubwa ni hii👇👇👇👇👇👇👇👇

The most convenient time to take a pregnancy test is typically in the morning, using your first urine of the day. This is because the hormone hCG (human chorionic gonadotropin), which pregnancy tests detect, is usually more concentrated in the morning. However, you can still get accurate results at other times of the day, especially with modern, highly sensitive tests.
 
Sikuwa nnafahamu hili basi itabidi afanye vipimo muda huo wa asubuhi.
 
Mara moja tu ila leo nikitoka kibaruani nataka apime tena.
Hem tulia.

Umepanick.mno.
Tuliza kichwa.

Kama mimba ipo ipo tu.
Kama haipo haipo.

Yani umepanick utafkr mimba ni hukumu ya kifo..relaaaaax.
Kwanza unapaswa kumshukuru Mungu angalau una hizi worries..
Ipokee as a blessing.
Hii panicking unayoonesha hapa kwenye thread Kama ndo unamuonesha huyo mwenzio, unazidi kuharibu.

Tuliiiiza kichwa.
Ndio Uanaume
 
Binafsi sina hofu yeyote mkuu nipo tayari kwa lolote
 
Baba kijacho 😹
Mtoto akiwa wa kike aitwe Lamomy..!!

Yani wakati wenzenu tunajadili “No reforms, no election” nyie mnapeana penzi moto moto kweli? 😹
 
Hakuna haja ya kusumbua watu hapa,ongozana tu na mwenzako mukapime, au unaishi mbali na hospital mkuu?
 
Hongera kwa kutengeneza mtoto, bora wewe kuliko mwenzio Jux asiye na uwezo wa kushikisha mimba wanawake kutwa kucha kuvaa hereni na lipstick tu kushindana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…