Wakuu hapa kuna mimba?

Kiongozi labda tu itokee ishu nyingine ila kwa tarehe hizo chance ya kushika ni kubwa mno .. anza maandalizi mapema tu. Kwa dalili nakuona tu kama hujapendezwa na hilo suala ila yote ni matokeo watoto wa style hiyo wana baraka zake itatokea utampenda .. sema wanawake bana wana mbinu nyingi sana akiamua ashike anashika tu ana twist siku hata moja tu imoo .. jipange tu mkuu "usitembee na mtu ili mradi tu weka malengo"
 
Kwani hedhi yake ya mwisho alimaliza tarehe ngp?
INaitwa LNMP
Baada ya hii siku ndio tunaanza kuhesabu mzunguko.

22 march ni siku alianza.
Ya mwisho ilikuwa kati ya 25/26 march

22 march ndio alianza
 
Mkuu mi nipo tayari sioni taabu kwenye hilo
 
Ya mwisho ilikuwa kati ya 25/26 march

22 march ndio alianza
so mlisex siku ya 10 au siku ya 11.

Hapo nunua kipimo umpime tuu, kashachelewa kama wiki sasa.

Kesho anaweza kuanza kusikia kichefuchefu, hakikisha una ndimu ndani.
 
Unaomba elimu ya uzazi wa mpango nahuku ushakojoa ndani
 
Jiandae kuchukiwa maana mimba zina kisirani chake, wengi wamekuwa single mama sababu akipata mimba anamchukia sana baba kijacho mara anampenda so kama una hasira unamkataa mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…