Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
- Thread starter
-
- #221
Ushimen ni classmate, maclassmate n wagumu hapo labda niambulie bia mbili 😂MImba hiyo baba kijachoo. Hongereni andaa lipa namba wakina Ushimen ,wazee wako wa rika lakooo wakutumie muamala wa pampas.
Kwa maana 22 mpaka 30 no danger 31 mpaka 1,2 danger huogipi magonjwa ya azinaa tofautin mimbaa
tutaenda kupima ila yeye ni kama kashakubali kuwa n mimbaHivi lakini si mkapime tu,wanasema mimba inaonekana after 2 weeks tangu mnyanduano, so mtapata majibu
😂😂😂We 2029 jiandae kulipa ada usilete siasa hapa
Eh ilitokea na demu mwenyewe mama kijachoo nikisu maana vyako wanajijua wenyewe sasa yule itakuwajeUshimen ni classmate, maclassmate n wagumu hapo labda niambulie bia mbili 😂
Ya Mungu mengi mkuu ilitokea tu hivyo.
Yule yupiEh ilitokea na demu mwenyewe mama kijachoo nikisu maana vyako wanajijua wenyewe sasa yule itakuwaje
Mkuu mpaka sasa bado hedhi imegoma kuonekana alafu analala lala sana sijui ndio kweli ni mimba.
Ikiwa mlilombana kati ya March 29 na April 6 au 7 uwezekano mkubwa imo😍🤾♂🤼♀👨👨👦👨❤️💋👨
Mambo yasiwe mengi
Basi acha atafute ada tu 😄Mambo yasiwe mengi
Tarehe 1 April mkuu.Weka tarehe mliyolombana nikupe jibu la mimba au siyo😎
Sawa mkuuYa nini kuumiza kichwa mkuu wakati kipimo cha ujauzito hakizidi elfu tatu, tena unaweza kwenda Pharmacy ukanunua ukampima mwenyewe huyo Manzi wako.
na akiba ya kutoshaBasi acha atafute ada tu 😄
Mlikulana sikukuu ya wajinga?Tarehe 1 April mkuu.
Ndio ilikuwa Idd pili?Mlikulana sikukuu ya wajinga?
Half american umesikia ushauri huuna akiba ya kutosha
Combikit ndio nini, kutoa mimba hapana mkuu siwezi kubali afanye hivyo.Leta hela nikuuzie combikit dogo najua utatoa tu hio mambo
Nmesoma vyema kabisa mkuu na nitaufanyia kazi.Half american umesikia ushauri huu