[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji122] [emoji122]I knew hutanielewa sikumaanisha wewe bali wao I mean this goes to them View attachment 408570my apology
bro za masiku mingi?trust only a dead politician mpaka 2020 tutaona mengi mno,NB:kabila langu lina asili ya cushites ila hatuvuti bangiYanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi View attachment 408106
Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi View attachment 408108View attachment 408109Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?
Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi! Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa
Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Tena kwa hisan yaLipumba ni Towashi wa kisiasa tena wa kujitakia
Tengeneza yako alafu bold kwa ranging ya majani mabichi itaonekana ya kikubwa lumumbaaaaaaUmeandika vizuri sana.... Lakini acha kutumia emoji, inafanya post yako ionekane ya kitoto wakati umetema facts
Kaka noted with appreciations! Makala nyingi za hapa jamvini zinaibiwa na blogs nyingi tuu . nimeshazikuta huko si mara moja au mbili Maranyingi tuu...kama taratibu za forum zikiruhusu basi hilo linaweza kufanyika lakini pia kuna umuhimu wa kuyapa hakimiliki na hatimiliki maandiko ya hapa JF cc: Moderator Invisiblemshana jr hii inabidi uandike makala hata kwenye gazeti.
Kuna umuhimu Maxence Melo mnunue pages kwenye magazeti muweke makala za jamii media zenye maandiko haya ya kina mshana jr na sio siasa tu wapo watu wana maandiko kuntu kwenye majukwaa ya mapishi, jamii intelligence , historia nk
Mtu ananunua majira ila ndani ya gazeti pages 2 ni kijarida let's say kinaitwa "jamii gazette" uko ndani tukute hizi makala zenye madini ya jf members vipaji visiishie hapa Jf pia mtapromote Jf kupata members wapya wenye michango chanya kwenye jamii ambao watapenda kufikisha ujumbe nje na ndani ya Jf.
Hili ni wazo langu kwakuwa tukiendelea kuyaacha hapa Jf tutazidi kuzalisha jamii ya matowashi tena wa hiari
Kifyatu imekaa njema sana reply yako na kwakweli nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana lakini pia binafsi napenda kuusifu upinzani wa CDM (mimi sio mwanachama) kuna alama za vision nimeziona hapo! Kuna constructive arguments nimeziona CHADEMA! kuna damu changa yenye positive thinking nimeiona hapo....!
Siongizwi na mapenzi Siongizwi na mihemko lakini kusema kweli at least Chadema imeweza kufanya kitu kikaonekana kwa miaka hii 20 walau
Kungekuwa na rational political grounds kwa vyama vyote kungekuwa hakuna rough kwenye uwanja wa siasa ingekuwa hakuna mamluki na wasaliti wa kununuliwa leo hii Tanzania hii ingekuwa tunaongea mengine na ccm ingekuwa 'a forgotten bizarre...!'
Lakini kinachoendelea sasa hivi ni kufisha hata mawazo chanya yenye mwelekeo wa kujenga! Kwanini tusiwaze zaidi ya kuwaza? Projection ya miaka 10, 20 au 50 ijayo? Kwanini tunakuwa so much mind castrated kiasi cha kudhani kuwa nilikukosoa basi mimi ni adui wa maendeleo? Why so much short sighted vision?
Tunakuwa great thinkers sorry I mean wangekuwa! wangeweza ku team up na the so called wapinzani na bado wangeibuka kidedea...it's very easy kumchinja kobe ni timing sio nguvu but who knows among them!
Sahihi kabisa lakini natamani naamini CHADEMA itasimama tena ile shock ya uchaguzi halikuwa jambo dogo hata kidogo na yale yote yaliyofuatiaNakubaliana na wewe kabisa. Unajua upinzani mahiri wa CDM ndio iliomzaa Magufuli na sera zake za sasa. Mimi CDM nilikuwa naikubali sana (ingawaje sikuwa mwanachama) mpaka walipoleta zile figisu-figisu zao za mwaka jana katika uchaguzi. Pale kwa kweli walinipoteza maboya kabisa ikawa siijui tena CDM. Actually, niliwakemea sana CDM na uongozi wake humuhumu JF lakini kama kawaida matusi na kejeli vilijaa.
Sisi wengine (wanyonge wote) tegemeo letu kuu ni kuwa na upinzani kabambe ili kuikabili serikali. Hapo ndio tutakapopona. CDM ilifanya vizuri sana hapo nyuma na kubadilisha muelekeo wa CCM. Pengine wangeendelea hivyo hivyo wangeweza kushika dola. Ninakasirika sana kuona upinzani unadhoofika kwa sababu tunaoumia ni sisi watu wa kawaida.
Maxence MeloKaka noted with appreciations! Makala nyingi za hapa jamvini zinaibiwa na blogs nyingi tuu . nimeshazikuta huko si mara moja au mbili Maranyingi tuu...kama taratibu za forum zikiruhusu basi hilo linaweza kufanyika lakini pia kuna umuhimu wa kuyapa hakimiliki na hatimiliki maandiko ya hapa JF cc: Moderator Invisible
Imana(Mungu)anasaidia siku zasonga kimya kimyaNoted..! God is good how are you anyway?
Hiyo maana ya towashi na mkushi ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,duhYanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi
View attachment 408106
Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi
View attachment 408108
View attachment 408109
Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?
Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi!
Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa
Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
mi nashauri kitu kimoja kwanza tudai ile rasimu ya warioba tukishapewa tuongeze hiki kipengele kiongozi wa kupatikana kwa tiketi ya mavyama awe rais tu wengine wote waombe kazi kulingana na utaalamu na uzoefu wao hata wapunge wapatikane kwa njia hiyo hapa kina bajaji,nepi,makondoo,february, chemba hawatapata hata ujumbe wa nyumba kum
Kuna matowashi wa kutengeneza sio mahanithi, hanithi anaweza kupona! Lakini sio towashiHiyo maana ya towashi na mkushi ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,duh