Wakushi na matowashi wa kisiasa

Wakushi na matowashi wa kisiasa

.
IMG-20190419-WA0047.jpeg
 
Tatizo la kuzalisha na kulea wakushi na matoashi ktk siasa za tanzania linaanzia ktk vyama vyenyewe vya siasa!
..mwanamume,"nyangindo, nagwa", ktk siasa ni yule aliye huru, "kitafakari", kuanzia ndani ya chama! Haburuzwi! Mchango wake unasikilizwa na unathaminiwa!, hata kama haukubaliki!
....Comrade Mshana Jr, siasa za zama hizi ktk nchi yetu, zimetuletea zama za sodoma na gomora kisiasa, vijana wafuasi, wa wanasiasa wako mduarani, wakiingiana, na wakiingiziwa..!
...lkn kwa wachache, tuko ktk njia ya wokovu!
...tunautizama mchezo kwa kutokea nje ya mduara!
Tumenusurika!
MTU huru pekee ni Prof. Assad. Wengine ni matowashi walofanywa hivyo. Towashi mmoja anakwambia wamechimba msingi wa jengo kilometa mbili kwenda chini. Duh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine

Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi

View attachment 408106

Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi

View attachment 408108
View attachment 408109

Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?

Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi!

Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Towashi Mkuu juzi juzi katupiliwa nje ya Mjengo kwa nguvu ileilr ya makushi kule mjini Dodoma.🤣🤣
 
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Matowashi wakishiba leo huwa hawawazi hata kesho watakula nini
 
Mathayo: 19:12
Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee.”
BHN: Biblia Habari Njema
 
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine

Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi

View attachment 408106

Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi

View attachment 408108
View attachment 408109

Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?

Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi!

Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni

Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Mshana nada mpaka leo utafikiri yajana kongore
 
Kifyatu imekaa njema sana reply yako na kwakweli nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana lakini pia binafsi napenda kuusifu upinzani wa CDM (mimi sio mwanachama) kuna alama za vision nimeziona hapo! Kuna constructive arguments nimeziona CHADEMA! kuna damu changa yenye positive thinking nimeiona hapo....!
Siongizwi na mapenzi Siongizwi na mihemko lakini kusema kweli at least Chadema imeweza kufanya kitu kikaonekana kwa miaka hii 20 walau
Kungekuwa na rational political grounds kwa vyama vyote kungekuwa hakuna rough kwenye uwanja wa siasa ingekuwa hakuna mamluki na wasaliti wa kununuliwa leo hii Tanzania hii ingekuwa tunaongea mengine na ccm ingekuwa 'a forgotten bizarre...!'
 
Nimekusamehe kwa matusi na kejeli kwakuwa nimegundua hujui nini maana ya sanaa na usanifu kwenye uandishi ama kutumia lugha picha kufikisha ujumbe fulani
Nimekusamehe kwakuwa hii ni mada yenye wachangiaji wenye maono na maoni tofauti kwa hiyo si kila mmoja anaweza kukubaliana na mtazamo wa mwandishi

LAKINI! Nimekudharau kwa kuwaita WAPUMBAVU wale wote walioona kuna mashiko kwenye mada husika.. Ulipaswa kuheshimu mawazo yao ama kuyakosoa kwa heshima...
Wewe ni mwandishi na inawezekana unaishi kwa kazi hii. Unajua unavyo anza mada yoyote kwa kufanya makosa hata yale madogo unaweza poteza wasomaji makini simply kwasababu ya neno moja au mawili. Then interests za wasomaji hazifanani hata kama una contents nzuri haimaanishi unakuwa exempted from all other material facts. Huwezi sema wakushi ni wavuta bangi na matowashi eti ni mahanithi halafu utegemee mi nisome hiyo habari yako aisee. Hivi unafahamu mapadri na masista wakikatoliki ni miongoni mwa matowashi? Unategemea watu wa mlengo huo waendelee kusoma ujumbe wako na wawaone wanaokusifu ni watu makini? No Mshana Mimi ni msomaji wa makala zako ila Leo umeniangusha mwamba
 
Back
Top Bottom