Wakushi na matowashi wa kisiasa

Wakushi na matowashi wa kisiasa

Ina Maana Dr. Slaa naye anatumia hiyo kitu? Maana na yeye ni Mkushi na kama Humaanishi Jamii ya Cush basi futa kauli zako za Kijinga na Uongo....
Sipo kwa ajili ya kujadili watu kwa majina! Huo ni ujuha na ulemavu wa akili..na mtu yeyote anayejadili watu badala ya dhana huyo ni mentally castrated na ni wa kumsamehe tuu...
Ukikutana na mtu wa jinsi hiyo hata akufanyie dhihaka kiasi gani usikasirike bali muonee huruma kwakuwa kiwango chake cha kufikiri kinaishia kwenye kujadili watu hana zaidi
 
Sipo kwa ajili ya kujadili watu kwa majina! Huo ni ujuha na ulemavu wa akili..na mtu yeyote anayejadili watu badala ya dhana huyo ni mentally castrated na ni wa kumsamehe tuu...
Ukikutana na mtu wa jinsi hiyo hata akufanyie dhihaka kiasi gani usikasirike bali muonee huruma kwakuwa kiwango chake cha kufikiri kinaishia kwenye kujadili watu hana zaidi
Unaposema Wakush zao ni Bangi tu unawatukana kiujumla? acha upumba.. wewe. Jadili kabila Lako la Wapare...Unatukana and then unasema unasamehe? akili zako zimelemaa kujadili makabila ya watu tu...
 
Unaposema Wakush zao ni Bangi tu unawatukana kiujumla? acha upumba.. wewe. Jadili kabila Lako la Wapare...Unatukana and then unasema unasamehe? akili zako zimelemaa kujadili makabila ya watu tu...
Naona kigongo changu kimekurudisha kwenye mstari hivi kabila ni mtu au ni jamii?
 
Naona kigongo changu kimekurudisha kwenye mstari hivi kabila ni mtu au ni jamii?
Unaijona una kigongo wakati unaandika Matakataka matupu! Mtu anatoka kwenye Kabila na Kabila linatoka kwenye Jamii so huwezi tenganisha... Viroba vinawasumbua sana vijana...
 
Unaijona una kigongo wakati unaandika Matakataka matupu! Mtu anatoka kwenye Kabila na Kabila linatoka kwenye Jamii so huwezi tenganisha... Viroba vinawasumbua sana vijana...
Sikereki na hizo lugha kwakuwa elements za utowashi hujulikana kwa replies...nimekusifu kwa kitu kimoja umeepuka kutaja majina ya watu sasa
 
Eti Nape kabatizwa jina la "Malaika wa Mungu"
Aje afungie mitandao yote yenye mrengo wa ukosoaji kwa kila alifanyalo "Mtukufu"...
 
mshana jr hii inabidi uandike makala hata kwenye gazeti.
Kuna umuhimu Maxence Melo mnunue pages kwenye magazeti muweke makala za jamii media zenye maandiko haya ya kina mshana jr , na sio haya ya jukwaa la siasa tu , humu JF wapo watu wana maandiko kuntu kwenye majukwaa ya mapishi, jamii intelligence , historia nk
Mtu ananunua gazeti la majira ila ndani ya gazeti pages 2 ni kijarida let's say kinaitwa "jamii gazette" uko ndani tukute hizi makala zenye madini ya jf members vipaji visiishie hapa Jf pia mtapromote Jf kupata members wapya wenye michango chanya kwenye jamii ambao watapenda kufikisha ujumbe nje na ndani ya Jf.
Hili ni wazo langu kwakuwa tukiendelea kuyaacha hapa Jf tutazidi kuzalisha jamii ya matowashi tena wa hiari
Naunga Mkono Hoja!
 
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine

Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi

View attachment 408106

Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi

View attachment 408108
View attachment 408109

Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?

Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi!

Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni

Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Interested but ujumbe uliomo ni Ngumu kumeza kwa baadhi yetu!
Hongera sana mshana jr[emoji112]
 
Kifyatu imekaa njema sana reply yako na kwakweli nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana lakini pia binafsi napenda kuusifu upinzani wa CDM (mimi sio mwanachama) kuna alama za vision nimeziona hapo! Kuna constructive arguments nimeziona CHADEMA! kuna damu changa yenye positive thinking nimeiona hapo....!
Siongizwi na mapenzi Siongizwi na mihemko lakini kusema kweli at least Chadema imeweza kufanya kitu kikaonekana kwa miaka hii 20 walau
Kungekuwa na rational political grounds kwa vyama vyote kungekuwa hakuna rough kwenye uwanja wa siasa ingekuwa hakuna mamluki na wasaliti wa kununuliwa leo hii Tanzania hii ingekuwa tunaongea mengine na ccm ingekuwa 'a forgotten bizarre...!'
Lakini kinachoendelea sasa hivi ni kufisha hata mawazo chanya yenye mwelekeo wa kujenga! Kwanini tusiwaze zaidi ya kuwaza? Projection ya miaka 10, 20 au 50 ijayo? Kwanini tunakuwa so much mind castrated kiasi cha kudhani kuwa nilikukosoa basi mimi ni adui wa maendeleo? Why so much short sighted vision?
Tunakuwa great thinkers sorry I mean wangekuwa! wangeweza ku team up na the so called wapinzani na bado wangeibuka kidedea...it's very easy kumchinja kobe ni timing sio nguvu but who knows among them!
You have said all, and very well... be blessed...
 
Kweli kuwa uyaone kumbe kuna matoashi wa kuzaliwa na hawana kabisa hii ni ilimu mpya kwangu.
 
Tatizo la kuzalisha na kulea wakushi na matoashi ktk siasa za tanzania linaanzia ktk vyama vyenyewe vya siasa!
..mwanamume,"nyangindo, nagwa", ktk siasa ni yule aliye huru, "kitafakari", kuanzia ndani ya chama! Haburuzwi! Mchango wake unasikilizwa na unathaminiwa!, hata kama haukubaliki!
....Comrade Mshana Jr, siasa za zama hizi ktk nchi yetu, zimetuletea zama za sodoma na gomora kisiasa, vijana wafuasi, wa wanasiasa wako mduarani, wakiingiana, na wakiingiziwa..!
...lkn kwa wachache, tuko ktk njia ya wokovu!
...tunautizama mchezo kwa kutokea nje ya mduara!
Tumenusurika!
Huko pamoja nami,
Kifupi umenigusa sasa
Ambacho wengi hawajambua ni ukweli kwamba hakuna upinzani wala wapinzani bali wapo wahanga wa siasa mbovu za CCM

Wamejenga chuki na CCM lakini hawana siasa mjadala wa CCM.
Ndio maana wanafanya yaleyale ya Ccm
 
Back
Top Bottom