Wakushi na matowashi wa kisiasa

Wakushi na matowashi wa kisiasa

Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi View attachment 408106
Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi View attachment 408108View attachment 408109Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?
Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi! Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa
Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Mkubwa umeamkaje Leo? Nadhani wakati unaandika ujumbe huu muhimu na mahsus Kwa vjn kifua chako kilikua kimejaa pumzi ya ajabu, ambapo kama ungeweza kuwapulizia vjn Makasuku wa Leo wanaoshangilia upuuzi hakika Taifa lingepata vjn BORA kabisa. watu hawajiulizi ni tz imeacha kuzalisha maprof imara na wenye kujenga hoja. wanashabikia kila Jambo bila vipimo.
 
Ujumbe mzito kwa viongozi wa chama na serikali,huu siyo wakati wa kuua vyama vya upinzani,kwanza vyama hivi vya upinzani ndivyo vinavyoleta chachu ya maendeleo hapa nchini,vinginevyo tungekuwa nyuma kimaendeleo kuliko tulivyo hivi sasa,niwapongeze tu vyama vya upinzani kwa kuonyesha njia ya kwenda mbele kama Taifa.
 
Wapinzani nao ni wajinga kwa kushindwa kutegua mitego ya ccm... Wanategeka kirahisi sana!

Siasa za africa ndivyo zilivyo!
 
Sio kwamba tunaua upinzani, bali tuna u shape upinzani ili kweli upinzani uwe ni serikali inayo subiri kuingia madarakani, sio huu upinzani wa sasa vituko vitupu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ujumbe mzito kwa viongozi wa chama na serikali,huu siyo wakati wa kuua vyama vya upinzani,kwanza vyama hivi vya upinzani ndivyo vinavyoleta chachu ya maendeleo hapa nchini,vinginevyo tungekuwa nyuma kimaendeleo kuliko tulivyo hivi sasa,niwapongeze tu vyama vya upinzani kwa kuonyesha njia ya kwenda mbele kama Taifa.
Kamwe hawawezi kukubaliana na ukweli kama huu lakini tuwe wapole tu wakati utaamua
 
Mshana Jr,tunawatengeneza matoashi na wakushi si kwa sababu tunapenda kwa sababu tumejilimbikizia mali mno,sasa tukiacha mawazo yakue na kushamiri basi ujue mali zetu ziko hati hati.

Ukitaka kuhakiki ona Wabunge wetu walioingia kwa Chama Chetu Kitukufu sana cha Malaika jinsi walivyo.Leo tunaambiwa ukimkosoa Raia wako basi ikuhusuyo ni jela,au utoe fine.Na anasimama niliyemchagua anasema tena hiyo adhabu ni ndogo sana muongeze miaka kumi.Ukitafakari aliyeongea ni mjomba wa mtawala kama si mtoto wa mtawala aliyerithi JIMBO.

Tena unaletewa na POLISI ikupige vizuri pale unaposema huyu hatufai,hivyo sababu kubwa ni ulafi wa watawala,wamekula wamevimbiwa wanaogopa kilichobaki kunyang'anywa.

Na hakika msipoamka tuatendelea kuwakata ili muendelee kuwa "matoashi"
 
mshana jr nimependa uchambuzi wako na hizo visuals zako, as always, zinavutia sana. Ningependa kuongeza pesambili zangu hapa kwa sababu nafikiri kuna ukweli usiopingika.

Kila chama cha kisiasa (CDM, CCM, CUF, n.k.) kinavutia upande wake. Kama CDM ikiingia madarakani kamwe haiwezi kuilegezea kamba CUF au CCM ili ziwe imara kuliko wao (tuliona mvutano na mtafaruk uliotokea ndani ya UKAWA wakati wa uchaguzi uliopita).

Chama kilichopo madarakani kina wajibu na ni jukumu lao kuona sera zao zinatekelezwa na hakuna chama kingine cha siasa kitakachokipiku na kuingia madarakani. Uwezo wa chama cha upinzani kutengua mbinu chafu za vyama vingine za kukidhoofisha na uwezo wa kuunda mbinu zake za kudhoofisha vyama vingine ndio kiini cha siasa za upinzani (plural politics). Ikitokea kuwa chama cha upinzani kikiwashinda chama tawala na kuchukua madaraka (kidemokrasia, off course) basi inaonesha hicho chama kimekomaa na kinastahili kutawala. Kupewa madaraka ya utawala on a silver-platter ni sawa sawa na incest (kuzaliana ndani ya familia moja). Inaweza kuwa rahisi lakini matokeo yake ni utawala dhaifu sana.

Mimi binafsi (sina chama) ninafurahi sana ninapoona serikali ya awamu ya tano inapowawekea mikwara upinzani. Ninachoangalia ni kuona upinzani watafanya nini kutengua hii mikwara. Mpaka sasa sijakuwa impressed. I hope upinzani will grow a backbone and do the needful. Siasa za upinzani sio lele mama. Hii mikwara upinzani wayoipata ni fursa nzuri sana kwao ambayo, wakiitumia vizuri, itawafanya imara zaidi kuliko zamani. Kwa sasa upinzani Tanzania ni reactive katika mbinu zao. Huwa wanajibu tu mapigo ya CCM (tactical maneuvers). Hawana (sijaona) maono na mikakati (strategic planning) ya muda mrefu. Kwa mfano:
  • Wanafanya nini kuwakoga (kuwavutia) wananchi wa kawaida (hasa vijijini) kuhusu sera zao? Kususia bunge na kudai live TV is not a long-term strategy for the opposition. It is petty and shows lack of vision.
  • Pengine Kuna haja ya kuvunja vyama vyote vyote vya upinzani (CDM, CUF, ACT, etc.) sasa hivi na kuunda chama kikubwa cha upinzani na kuwa na sera ya pamoja. UKAWA kama coalition sio chama cha siasa na siku zote tofauti za constituent parties ndio zitakazowazamisha. Ni sawa sawa na CCM kumeguka na kuwa TANU na ASP - itakufa ikifanya hivyo. A better strategy ni kutengeneza chama kikubwa cha upinzani na sio coalitions kama UKAWA. Selfish desires za hivi vyama vya upinzani ndio anguko lao.
  • n.k.
Mimi sina undani wa hivi vyama vyote kwa hiyo sijui labda tayari wana strategies kabambe. Lakini kwa mtazamo wangu (kuchungulia kwangu) kutoka nje naona kama wanaspin matairi yao na itakuwa vigumu kusonga mbele, let alone kupata kasi.

STOP REACTIVE POLITICS - STRATEGIZE, PEOPLE!

My two cents.
 
Well said brother, upo Tanzania kweli?
 
Tetty [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Kifyatu imekaa njema sana reply yako na kwakweli nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana lakini pia binafsi napenda kuusifu upinzani wa CDM (mimi sio mwanachama) kuna alama za vision nimeziona hapo! Kuna constructive arguments nimeziona CHADEMA! kuna damu changa yenye positive thinking nimeiona hapo....!
Siongizwi na mapenzi Siongizwi na mihemko lakini kusema kweli at least Chadema imeweza kufanya kitu kikaonekana kwa miaka hii 20 walau
Kungekuwa na rational political grounds kwa vyama vyote kungekuwa hakuna rough kwenye uwanja wa siasa ingekuwa hakuna mamluki na wasaliti wa kununuliwa leo hii Tanzania hii ingekuwa tunaongea mengine na ccm ingekuwa 'a forgotten bizarre...!'
Lakini kinachoendelea sasa hivi ni kufisha hata mawazo chanya yenye mwelekeo wa kujenga! Kwanini tusiwaze zaidi ya kuwaza? Projection ya miaka 10, 20 au 50 ijayo? Kwanini tunakuwa so much mind castrated kiasi cha kudhani kuwa nilikukosoa basi mimi ni adui wa maendeleo? Why so much short sighted vision?
Tunakuwa great thinkers sorry I mean wangekuwa! wangeweza ku team up na the so called wapinzani na bado wangeibuka kidedea...it's very easy kumchinja kobe ni timing sio nguvu but who knows among them!
 
1475082806894.jpg
 
Hivi unazungumzia upinzani upi? Huu ambao matusi ndio sera yao? Hakuna haja ya kupoteza muda na resources kuwamaliza! Wanajimaliza wenyewe!!
 
Back
Top Bottom