Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
- Thread starter
- #121
Point yangu kwako ilikuwa ni moja tuu kuwaita watu usiowajua WAPUMBAVU..hilo tuu..Sikwambii uombe radhi hilo ni utashi na hekima yako.. Lakini kumbuka hapa tunatumia utambulisho bandia. Unayemuita MPUMBAVU anaweza kuwa ndugu ama hata mzazi wako..ndio maana nikakwambia vema kukosoa kwa heshimaWewe ni mwandishi na inawezekana unaishi kwa kazi hii. Unajua unavyo anza mada yoyote kwa kufanya makosa hata yale madogo unaweza poteza wasomaji makini simply kwasababu ya neno moja au mawili. Then interests za wasomaji hazifanani hata kama una contents nzuri haimaanishi unakuwa exempted from all other material facts. Huwezi wakushi ni wavuta bangi na matowashi eti halafu utegemee mi nisome hiyo habari yako aisee