Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

vipi nyie mabinti wa kitanga mbona mnacheza baikoko bila chupi ndiyo ujanja sio we binti ? 911 sep11
muache kujikusanya na mapanga katikati ya mji mila za kizamani. Askiari na vyombo vya usalama vinafanya nini huko? kwanini waliita kanda maalumu? yaani mtu kachapiwa mke kwa kujifanya mbabe yowe linapigwa kata mzima wanakusanyika wakurya bana mmewaambukiza tabia hiyo wajita waikizu wakerewe n.k
 
kwahiyo wewe unashauri asipige yowe afanyeje au unataka alete matarumbeta na kigodoro!!?
 
Watakuwa wanapita kimyakimya tu. Wanajifanya vidume wakati mfukoni unakuta hawana hata shilingi kumi bali wameficha visu. Kuficha mapanga kwenye nguo zao wanaona ni ujanja sana.

Hawa jamaa labda hapa bongo ukienda kule kwao wao ndio wanaongoza kwa utajiri. Unasema hawana 10000 mfukoni? Maduka mengi Musoma ni ya kwao ingawa hiyo sana sana siyo wilaya yao kwa asili. Semea ukali wao usisemee utajiri wao. Wanazo fedha.
 
Kuna hawa wamasai kipindi cha mwaka 2006, walikuwa walalinda wakorofi ukiwagusa wanajifanya kupandisha mori sasa wakakutana na watu ambao, ugumu wa maisha ni mori tosha kwa kifupi wamevurugwa na life, walikuwa wanachezea makofi na mapanga yao kama watoto wadogo. Huku dar ulete uhuni na ubabe wakijinga utapasuka, kwani hili life la mjomba magu ni mori tosha.
 
Yani Hakuna Challenge Kama Upo Ugenini Alafu Wenyeji Wale Chapati Moja Moja.....
 
Kweli kabisa waache ushamba kina Heche, kila kitu anatumia nguvu kuliko akili
 
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.

WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.

Jambo la kwanza ni kwamba kwanini wakurya mnakeketa mabinti wenu? Huu ni ushamba mnawanyima utamu bila kujijua katika tendo la ndoa. Hivyo acheni huu ujinga.

Pili, acheni kuwapiga wanawake wenu. Mbona mkija huku Dar mnakuwa wapole sana yani ubabe wenu sijui huwa mnaweka wapi. Kwanini ubabe wenu ni kwa wanawake wenu? acheni hizo tabia kuweni Gentlemen aisee. Mwanamke anapigwa kitandani tu na mapenzi motomoto.

Mwanamke ukiwa unamchapa vizuri 6 kwa 6 lazima awe na heshima. kumpiga au kumkata mapanga haileti heshima ila tunawaona washamba wa kupindukia.

Ushamba mwingine ni ule wa kujiona nyie ndiyo vidume, wenye nguvu za kupigana. Acheni huo ushamba aisee. zama hizi hakuna anaetaka kutunisha msuli ili aonekane anajua kupigana bali kidume cha kweli ni kusaka mkwanja tu.

Acheni ushamba huo. anzeni kuwa na sifa za ki-gentleman.
Wewe ndiye mshamba no1 huwezi kuleta ukabila humu maana sisi wote ni watanzania huwezi kuliona kabila moja kama ni bora kuliko jingine
 
Lisolokobwe ...Mwita Maranya njooni mpambane na huyu mtu mhuni
 
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.

WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.

Jambo la kwanza ni kwamba kwanini wakurya mnakeketa mabinti wenu? Huu ni ushamba mnawanyima utamu bila kujijua katika tendo la ndoa. Hivyo acheni huu ujinga.

Pili, acheni kuwapiga wanawake wenu. Mbona mkija huku Dar mnakuwa wapole sana yani ubabe wenu sijui huwa mnaweka wapi. Kwanini ubabe wenu ni kwa wanawake wenu? acheni hizo tabia kuweni Gentlemen aisee. Mwanamke anapigwa kitandani tu na mapenzi motomoto.

Mwanamke ukiwa unamchapa vizuri 6 kwa 6 lazima awe na heshima. kumpiga au kumkata mapanga haileti heshima ila tunawaona washamba wa kupindukia.

Ushamba mwingine ni ule wa kujiona nyie ndiyo vidume, wenye nguvu za kupigana. Acheni huo ushamba aisee. zama hizi hakuna anaetaka kutunisha msuli ili aonekane anajua kupigana bali kidume cha kweli ni kusaka mkwanja tu.

Acheni ushamba huo. anzeni kuwa na sifa za ki-gentleman.
Waige ushamba wa ulaya?
 
Kuna ukweli fulani ila kuwaita washamba hujawatendea haki ungewaambia "hawajaelimika"

Karne hii mtu bado anajivunia utemi ni ukuda huo.

Utemi ulikuwa zamani ndio maana Nyerere aliwajaza jeshini.
Heri mshamba kuliko mjinga! Mshamba hajatembea hajui mazingira ya sehemu mbali mbali. Mjinga ni yule hajaelimika, hana skills za kufundishwa labda zile alizorithi, hajui kusoma na kuandika na hajui ku communicate na watu wengine.
 
Back
Top Bottom