Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

Kujitetea hakutakusaidia kutokuonekana watu ambao hamjaelimika mkuu. Ni ukweli usiopingika kwamba "WAKURYA" hamjaelimika na mna mambo ya ajabu sana kulingana na sababu zifuatazo;

1. Kupigana wenyewe kwa wenyewe. Sababu kubwa ni kuibiana ng'ombe mfano warechoka. Hii ni ishara tosha kuwa elimu kwenu n muhimu sana. Mnaweka vita mbele badala ya kufanya mambo yanayoleta maendeleo. Ndiyo maana asilimia kubwa ya wakurya mnaishi kwenye vijumba vya nyasi na hata hamjui kama kuna kitu kinaitwa choo.

2. Pia wengi wenu elimu mnaikimbia na kubaki kufuga ng'ombe wengi ambao hawawasaidii chochote kwa sababu wanakuwa kama mapambo tu. Maana unakuta mna shida zinazowaandama mpaka kwenye damu ila hamuuzi hao ng'ombe wawasaidie. pia bado mnaishi maisha ya kizamani kwa kulala kwenye ngozi, vitanda vya kufunga kwa kamba etc.

3. Suala la kuoa wanawake wengi na kuwatelekeza. Wakurya hasa wanaume wana ubwege sana wa kuoa wanawake wengi na kuwatelekeza hao wanawake. Unakuta mwanamke ndiyo hupambana ili watoto wake wasome na wapate hata cha kuweka kinywani. Kazi ya mwanaume ni kwenda kunywa pombe za kienyeji akirudi anaomba chakula ambacho hajui kimepatikanaje.

4. Kuhusu suala la ukeketaji nyie mmekuwa watu ambao siyo waelewa kwa sababu mmekuwa mkiwakeketa watoto wengi kwa kiwembe kimoja. Pia yule ngariba huwa havai hata grovuzi ili kulinda afya za watoto wenu. Hakika tukiweza kumaliza hili suala la ukeketaji kwa kurya itakuwa rahisi sana kulimaliza kwa makabila mengine kwa sababu wakurya ni watu wenye uwezo mdogo wa kuelewa mambo na ni wagumu sana kuelewa kuwa kitu fulani hakifai.

Acheni mambo ya ajabu ambayo hayana tija katika jamii ili muweze kuwapa watoto wenu elimu iliyo bora. Kama muda wote mnawaza vita na kunoa mapanga utakumbuka suala la mwanao kupata elimu iliyo nzuri katika shule iliyo bora?
.
tapatalk_1527587457405.jpeg
 
Shida yenu ndio hiyo,(kama wewe ni mmoja wao) hamtaki kukosolewa. Ruhusuni mawazo tofauti. Vinginevyo mtaendelea kuonekana vituko.
Kwa hiyo wewe ndo unataka mawazo yako ndo yaweze kutubadilisha jamii nzima ya kikurya?!

Acheni kujifanya mwajua sana kumbe hamna mnalojua
Hata mtoa mada kwa maelezo tu anaonekana kasimuliwa vijiweni hajawahi kabisa kukanyaga kanda maalumu

Acheni niishie hapa maana naona hasira zinazidi kukaa kooni
 
Hahahaha wangekuwa wanabeba zege,kulima heka za kutosha,kuchimba mitaro ya kujenga makalavati.
Ushawahi kusikia mkurya analalamika njaa mkoani kwake?!

Tangu unakuwa hadi unabalehe umewahi japo kusikia japo radion tu ya kuwa kuna uhitaji wa chakula musoma??!
 
Ushawahi kusikia mkurya analalamika njaa mkoani kwake?!

Tangu unakuwa hadi unabalehe umewahi japo kusikia japo radion tu ya kuwa kuna uhitaji wa chakula musoma??!
Nazungumzia wakija DAR wanauza mayai ila huko kwao wanapiga kazi za kufa mtu.
 
Mkuu kwani sisi wanyantuzu siyo wasukuma acha ushamba ongelea kabila lako. Acha kutubagua sisi Wanyantuzu sisi ni wasukuma kwelikweli...!!

shule ulienda kusomea matango pori!! wapi nimesema wanyantuzu siyo wasukuma?

kwenye post yangu hapo juu nimetumia haya maneno mawili kwa umakini kabisa (nimetumia neno mnyantuzu na neno msukuma wa mwanza) kumaanisha kuwa kuna utofauti wa msukuma wa mwanza na mnyantuzu wa bariadi hasa katika ujasiri na kujituma katika mambo ya kiuchumi, kwa mfano wanyantuzu ni wafugaji kwa kiwango kikubwa wakati wasukuma wa mwanza wengi ni wakulima tu, kwa kawaida jamii za kifugaji huwa majasiri kutokana na mazingira ya maisha yao ya kiufugaji kuwa na hatari kadha wa kadha, hivyo wafugaji wengi hujikuta wenye ujasiri mwingi na kaukorofi fulani na uthubutu mwingi katika mambo yao. Uzuri wa ujasiri huo huonekana wenye thamani kama watu wa jamii hizo WATAUHAMISHIA na kujikita kwenye shughuli za uchumi na maendeleo.

mnyantuzu ni msukuma lakini mnyantuzu si kama msukuma wa mwanza.
 
Kujitetea hakutakusaidia kutokuonekana watu ambao hamjaelimika mkuu. Ni ukweli usiopingika kwamba "WAKURYA" hamjaelimika na mna mambo ya ajabu sana kulingana na sababu zifuatazo;

1. Kupigana wenyewe kwa wenyewe. Sababu kubwa ni kuibiana ng'ombe mfano warechoka. Hii ni ishara tosha kuwa elimu kwenu n muhimu sana. Mnaweka vita mbele badala ya kufanya mambo yanayoleta maendeleo. Ndiyo maana asilimia kubwa ya wakurya mnaishi kwenye vijumba vya nyasi na hata hamjui kama kuna kitu kinaitwa choo.

2. Pia wengi wenu elimu mnaikimbia na kubaki kufuga ng'ombe wengi ambao hawawasaidii chochote kwa sababu wanakuwa kama mapambo tu. Maana unakuta mna shida zinazowaandama mpaka kwenye damu ila hamuuzi hao ng'ombe wawasaidie. pia bado mnaishi maisha ya kizamani kwa kulala kwenye ngozi, vitanda vya kufunga kwa kamba etc.

3. Suala la kuoa wanawake wengi na kuwatelekeza. Wakurya hasa wanaume wana ubwege sana wa kuoa wanawake wengi na kuwatelekeza hao wanawake. Unakuta mwanamke ndiyo hupambana ili watoto wake wasome na wapate hata cha kuweka kinywani. Kazi ya mwanaume ni kwenda kunywa pombe za kienyeji akirudi anaomba chakula ambacho hajui kimepatikanaje.

4. Kuhusu suala la ukeketaji nyie mmekuwa watu ambao siyo waelewa kwa sababu mmekuwa mkiwakeketa watoto wengi kwa kiwembe kimoja. Pia yule ngariba huwa havai hata grovuzi ili kulinda afya za watoto wenu. Hakika tukiweza kumaliza hili suala la ukeketaji kwa kurya itakuwa rahisi sana kulimaliza kwa makabila mengine kwa sababu wakurya ni watu wenye uwezo mdogo wa kuelewa mambo na ni wagumu sana kuelewa kuwa kitu fulani hakifai.

Acheni mambo ya ajabu ambayo hayana tija katika jamii ili muweze kuwapa watoto wenu elimu iliyo bora. Kama muda wote mnawaza vita na kunoa mapanga utakumbuka suala la mwanao kupata elimu iliyo nzuri katika shule iliyo bora?

ungekuwa si mshamba ungejua kuwa siyo kila anayepingana na hoja zako kwenye hii post ni mkurya!!

Ninakujibu uharo wako kama ifuatavyo:

1. suala la wakurya kupigana wenyewe kwa wenyewe halihusiani na elimu kwa namna yoyote ile maana mapigano yao yana sababu, koo zote za kikurya zinaishi kwa kutumia kanuni ya SURVIVAL FOR THE FITTEST, kwa mfano koo moja imeibiwa ng'ombe halafu iseme imestarabika na kuacha zichukuliwe kijinga jinga tu ili wewe useme wameelimika, unajielewa kweli?

UKURYANI koo zinaishi kwa kujijenga zaidi ili kuwa na nguvu kuliko koo nyingine, koo fulani ikijifanya iliyostarabika itaibiwa mali zote na koo nyingine. kwahiyo jitahidi ujisomee na kujua historia yao usikurupuke.

halafu pia kaa ukijua elimu kwa watanzania wengi bado sana ukiwemo na wewe mwenyewe.

usingekuwa mshamba ungejua kuwa siyo wakurya tu wanaoishi kwenye nyumba za nyasi hapa TZ maana jamii nyingi za watanzania hasa vijijini wanaishi kwenye nyumba za nyasi. kuhusu kuwa na choo, usichokijua ni kuwa kuna watanzania wengi vijijini na shule nyingi tu kwenye mikoa mingi hapa TZ hazina hata choo kwahiyo kama ulidanganywa kuwa ni wakurya tu hawana choo pole sana. hata hivyo utafiti huo wa wakurya kutokuwa na choo uliufanya lini?

2. kufuga ng'ombe wengi si kwa wakurya tu hapa TZ, ungekuwa si mshamba ungelijua hili, jamii ya wakurya wa sasa wana ng'ombe wa kawaida kabisa tena wengi wao wanauza maziwa yao kwenye viwanda kama MARA MILK na kwingineko tena kuna wafugaji wengi wameanza kuuza ng'ombe na kuwekeza kwenye real estates huko musoma, tarime , mwanza, mugumu na kwingineko.

3. suala la kuoa wanawake wengi na kuwatelekeza ni la mtu mmoja mmoja, hata jamii zingine hapa tz zinaoa wanawake wengi tu na kuwatelekeza, juzi juzi huko Dar walijitokeza wanawake kibao waliotelekezwa na waume zao, kwani hao walikuwa wakurya? ungekuwa si mshamba ungelijua hili.

4. suala la ukeketaji linafanywa na jamii nyingi tu hapa TZ si kwa wakurya tu, tena kwa wakurya kila mkeketwaji huenda na viwembe vyake mwenyewe na si kweli kwamba wanachangia kiwembe kimoja. usichojua ni kuwa suala la ukeketaji linapungua kwa kasi kubwa huko kwa wakurya kulingana na wao wenyewe wanavyobadilika siyo kama wewe unavyotaka.

umesema wakurya wanauelewa mdogo, umeupima vipi uelewa wao? je una study yoyote uliyofanya kuhusu uelewa wao uweke link hapa tuisome hiyo study au research, au unajifanya kujua usicho na uhakika nacho?

jisomee brother kabla hujaja humu kudanganya watu.
 
Nadhani mtoa mada hajafanya utafiti wa kutosha hayo mambo kwa kiwango kikubwa ukuryani yamepungua Sana hayo ya kupiga wanawake kukata Mapinga tunasikia kila siku kwenye habari na asilimia Katibu 90 sio wakurya tutake radhi
 
Aisee isiwe tabia ya mtu mmoja mkailimbikizia jamii mzima. Msichana halazimishwi kukeketwa anakwenda mwenyewe. Na kuhusu misuli, ni kutokana na mazingira ya vita vya kila wakati
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.

WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.

Jambo la kwanza ni kwamba kwanini wakurya mnakeketa mabinti wenu? Huu ni ushamba mnawanyima utamu bila kujijua katika tendo la ndoa. Hivyo acheni huu ujinga.

Pili, acheni kuwapiga wanawake wenu. Mbona mkija huku Dar mnakuwa wapole sana yani ubabe wenu sijui huwa mnaweka wapi. Kwanini ubabe wenu ni kwa wanawake wenu? acheni hizo tabia kuweni Gentlemen aisee. Mwanamke anapigwa kitandani tu na mapenzi motomoto.

Mwanamke ukiwa unamchapa vizuri 6 kwa 6 lazima awe na heshima. kumpiga au kumkata mapanga haileti heshima ila tunawaona washamba wa kupindukia.

Ushamba mwingine ni ule wa kujiona nyie ndiyo vidume, wenye nguvu za kupigana. Acheni huo ushamba aisee. zama hizi hakuna anaetaka kutunisha msuli ili aonekane anajua kupigana bali kidume cha kweli ni kusaka mkwanja tu.

Acheni ushamba huo. anzeni kuwa na sifa za ki-gentleman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.

WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.

Jambo la kwanza ni kwamba kwanini wakurya mnakeketa mabinti wenu? Huu ni ushamba mnawanyima utamu bila kujijua katika tendo la ndoa. Hivyo acheni huu ujinga.

Pili, acheni kuwapiga wanawake wenu. Mbona mkija huku Dar mnakuwa wapole sana yani ubabe wenu sijui huwa mnaweka wapi. Kwanini ubabe wenu ni kwa wanawake wenu? acheni hizo tabia kuweni Gentlemen aisee. Mwanamke anapigwa kitandani tu na mapenzi motomoto.

Mwanamke ukiwa unamchapa vizuri 6 kwa 6 lazima awe na heshima. kumpiga au kumkata mapanga haileti heshima ila tunawaona washamba wa kupindukia.

Ushamba mwingine ni ule wa kujiona nyie ndiyo vidume, wenye nguvu za kupigana. Acheni huo ushamba aisee. zama hizi hakuna anaetaka kutunisha msuli ili aonekane anajua kupigana bali kidume cha kweli ni kusaka mkwanja tu.

Acheni ushamba huo. anzeni kuwa na sifa za ki-gentleman.
Sawa kabsa weng in ma iron boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom