Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

Halafu uwakute kwenye msiba..wao ni kilugha tu bila kujali huku ni mjini na kuna watu wengine wamejumuika nao kwenye hilo tatizo.
Huwa inakera sana!
 
mkuu wamebadilika, mie nimeopoa kurya,, juz kati nlikuwa huko,, nlikula sana nyama,,

kwa kifupi nlichinjiwa ngo'mbe, hahahahah

jaman wanawake wa kurya watam sanaaa

wanajua kulea

hahahaha siku nakula hadi kichuri, na ule uji wao wa kusindika hahaha
 
nawatetea sio wote,,,

wanawake wao sio wavivu.

nimeopoa BOHKE[emoji16]

nangojea mida iende

"RARA NIKURENGE"
 
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.

WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.

Jambo la kwanza ni kwamba kwanini wakurya mnakeketa mabinti wenu? Huu ni ushamba mnawanyima utamu bila kujijua katika tendo la ndoa. Hivyo acheni huu ujinga.

Pili, acheni kuwapiga wanawake wenu. Mbona mkija huku Dar mnakuwa wapole sana yani ubabe wenu sijui huwa mnaweka wapi. Kwanini ubabe wenu ni kwa wanawake wenu? acheni hizo tabia kuweni Gentlemen aisee. Mwanamke anapigwa kitandani tu na mapenzi motomoto.

Mwanamke ukiwa unamchapa vizuri 6 kwa 6 lazima awe na heshima. kumpiga au kumkata mapanga haileti heshima ila tunawaona washamba wa kupindukia.

Ushamba mwingine ni ule wa kujiona nyie ndiyo vidume, wenye nguvu za kupigana. Acheni huo ushamba aisee. zama hizi hakuna anaetaka kutunisha msuli ili aonekane anajua kupigana bali kidume cha kweli ni kusaka mkwanja tu.

Acheni ushamba huo. anzeni kuwa na sifa za ki-gentleman.

joshydama umeolewa,?
kama ndiyo tuliza matako lea mmeo kama hapana wewe ni danga .

taja kabila lako , na kama unaona tunatesa wanawake zetu njoo tukuoe wewe.

mbuzi wewe ,kenge wa mayai pimbi kabisa
 
Halafu uwakute kwenye msiba..wao ni kilugha tu bila kujali huku ni mjini na kuna watu wengine wamejumuika nao kwenye hilo tatizo.
Huwa inakera sana!

unataka waongee lugha ya mama yako ?

ni wakurya mother tongue Yao ni kikurya unataka waongee kubena Acha umbea wewe binti Ngorunde
 
Hilo la mwanamke kumchapa vilivyo kwenye 6 kwa 6 umetugusa wengi....

Kumbe siri ya heshima ipo hapa na wala si mitama.
 
mkuu wamebadilika, mie nimeopoa kurya,, juz kati nlikuwa huko,, nlikula sana nyama,,

kwa kifupi nlichinjiwa ngo'mbe, hahahahah

jaman wanawake wa kurya watam sanaaa

wanajua kulea

hahahaha siku nakula hadi kichuri, na ule uji wao wa kusindika hahaha
Togwa [emoji39][emoji39][emoji39] mkuu itabidi niandae safari ya kurudi Mara.....
 
Kuna ukweli fulani ila kuwaita washamba hujawatendea haki ungewaambia "hawajaelimika"

Karne hii mtu bado anajivunia utemi ni ukuda huo.

Utemi ulikuwa zamani ndio maana Nyerere aliwajaza jeshini.
Sema ukwel
Hawa majamaa ni makatiri
 
wanawake bila kofi 2/3 akizingua ukajidai msamalia ndo ninyi mnabaki kulialia kwa kutendwa hiyo ni fact na anakuwa hana hofu ya kufanya lolote lazima mwanamke ajue upande wako wa pili..

Ubabe kwa mwanaume yoyote yule ni muhimu mnoo inaweka hata familia yako katika Amani.....kuwa mbabe haimaanishi hujastaarabika no ni pale wajinga wanavyokuchokoza..

Na kama hujui hakuna watu wastaarabu kama wakurya kama hujamzengua hawana shida na mtu bila sababu fanya kautafiti utatambua hilo..

Hilo la kukeketa naungana nawewe na taratibu linapungua si kama miaka ya nyuma nafikii 20 ys to come litakuwa limefutika
 
Haliwezi kufutika, labda na ulaya lifutike. Waendelee, wao inawasaidia.

FGM in Europe

Factbox: The hidden cut: female genital mutilation in Asia
 
unataka waongee lugha ya mama yako ?

ni wakurya mother tongue Yao ni kikurya unataka waongee kubena Acha umbea wewe binti Ngorunde
Shida yenu ndio hiyo,(kama wewe ni mmoja wao) hamtaki kukosolewa. Ruhusuni mawazo tofauti. Vinginevyo mtaendelea kuonekana vituko.
 
Back
Top Bottom