Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Kwani wamekula nini chako? Ulaya wanapromoti ushoga tena kwa sheria kali lakini wanawazuga nyie kuachana na mambo yenu kwa ghiriba kali. Dunia ni kubwa sana na mtambue haiwezi na hatuwezi kuwa sawa, ni vizuri sahivi tuna haki za makundi na walio wachache ...tuwaache kwasababu nao ni kundi lao na ni haki yao. Wakataeni wanaowatuma ili waachane na ushoga huko makwao kwasababu Tz hatuukubali kisha ndo mje kuwa wafuasi wazuri wa mahubiri yao juu ya mila zetu nzuri