Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Weeeeeondoa hofu watakuelewa tu,
Weeeeeondoa hofu watakuelewa tu,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanasema Mkurya akiwa kwao huko anajifanya mababe lakini akija da Anauza kuku na mayai kipunguni.
Hao walikusanyika mji gani huo? kwa nini? au hujui maana ya yowe? VIROBA VILIPIGWA MARUFUKU au umekula MAJANI?huko unakosema kuna matarumbeta na vigodoro hawana uhalifu? umesha wahi ona wanaume wanakusanyana na pinde na mishale? miaka hii ya utandawazi tena mjini kabisa? mbadilike mtu kaibiwa kuku mishipa yashingo inataka kupasuka kisa yowe anagonga lipsi kwa viganja vya mikono karibia azichane kisa kaibiwa kuku
badilikeniiiiiii
Shemela ni wahuko kanda maalumu best!Sipend kweli kuona mkurya anasemwa
AsantePole!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashukuru kwa kujuaTunajua shemeji yetu ni mkurya wa tarime
Ndio best. Shemela mpaka baba mtoto ni wa huko. Mkisema wakurya mnamsema na mtoto wanguShemela ni wahuko kanda maalumu best!
Kweli Mkuu hawa jamaa sijui kwanini wanatutukana kila siku,hawajawahi kufikiria hata BABA WA TAIFA LA TANZANIA ANATOKA MARA.Ndiyo wanaokulindia hii nchi yako Wewe. Acha ' uboya ' tafadhali na tena utuheshimu kweli vinginevyo bila Sisi hii nchi Idi Amin Dada angeshaichukua siku nyingi mno na si ajabu pengine sasa Wewe ungekuwa unawafulia tu Waganda ' Chupi ' zao huko Kwao.
Ifike muda Watanzania wote popote pale mlipo muwe na adabu na heshima na Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) vinginevyo mtatuudhi halafu ' tutalegeza ' na kuwaachia Warwanda na Wamalawi na hata Wakenya waingie kiurahisi na ' waipige ' Tanzania yenu hii.
Tangia lini nchi ikalindwa na Wahaya, Waha, Warangi, Wanyiramba na Wanyaturu?
Mkuu kwani sisi wanyantuzu siyo wasukuma acha ushamba ongelea kabila lako. Acha kutubagua sisi Wanyantuzu sisi ni wasukuma kwelikweli...!!Kumbe unaweza ukawa mshamba halafu usijijue badala yake ukaanza kuita wengine ndiyo washamba,
uchambuzi wako umejaa makosa ya kifikra (logic and reasoning) kwa sababu zifuatazo;
1. siyo wakurya tu wanaokeketa watoto wa kike hapa Tanzania (ungekua siyo mshamba ungelijua hili). Hivyo ulitakiwa kukemea makabila yote yanayofanya ukeketaji. Kwa kushindwa kwako umedhihirisha chuki binafsi tena za kizamani.
2. Suala la ukatili kwa wanawake limekuwa janga la dunia ya sasa, tena matukio ya juzi juzi yanathibitisha hili, yule mganga mfawidhi aliyeuawa na mmewe, yule mhadhiri wa chuo kikuu cha UDOM aliyeuawa na mmewe n.k hao wanaume wote walioua siyo wakurya. Hivyo basi ungekua siyo mshamba ungelitambua hili.
3. Kuhusu ubabe wa wanaume wa kikurya umeuchambua kitoto sana kana kwamba hata historia ya makabila mbalimbali hujawahi kusoma (huu ni ushamba mkubwa). Umeshindwa kufahamu kuwa wakurya ni kabila la vita tangu zamani (warrior tribe). Unapotaka wanaume wa kikurya wawe mdebwedo utasubiri sana ewe mshamba. Nakushauri utafute historia ya warrior tribes hapa Afrika Mashariki ili uelimike (tafuta historia ya wakikuyu, wamasai, wakurya, wakamba, watutsi, wanyankole n.k ndipo utajua wakurya hawawi majasiri usiku mmoja bali wana vinasaba vya kuwa hivyo walivyo.
4. Umesema wakurya wafute hela, kumbe hata hujui kuwa wanaume wa kikurya kwa miaka hii wanatafuta hela sana na wanazipata haswaa. Nenda Mwanza ulizia wakurya wanavyotafuta hela, kwa miaka hii biashara kubwa Mwanza zinaanza kumilikiwa na wakurya, wahindi, wachaga na wanyantuzu.
Angalizo: Acha kusubiria embe chini ya mkuyu! Huwezi kutegemea eti siku moja wakurya/watutsi/wakikuyu/wanyantuzu watakuwa wapole na wajinga wajinga kama wasukuma wa Mwanza.
Mwisho, Nakuhakikishia hadi kesho, ubabe/ujasiri kwa wakurya hautaisha ila tu utabadilika kulingana na mahitaji ya wakati husika.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashukuru kwa kujua
Povu la dhahiri lisilofichika,, asante Kwa kudhihirisha ujinga wako
Pole sana lakini tunaelimishana, hatuchekani tupo jamii hizo hizo ila ni majiraniNdio best. Shemela mpaka baba mtoto ni wa huko. Mkisema wakurya mnamsema na mtoto wangu
Ndoto za mchana hizo
Kama hutoki katika Makabila haya yafuatayo nakupa dakika 15 tu zijazo utuombe radhi vinginevyo tusilaumiane:
Kazi Kwako!
- Mhaya
- Mnyaturu
- Muha
- Mrangi
- Mnyiramba
Hahahahaa. Ila wamebadilika kidogo hasa hawa wakurya wa mjini. Wale wa kule nyamongo bado wako na fita ni fita mura mpaka leoPole sana lakini tunaelimishana, hatuchekani tupo jamii hizo hizo ila ni majirani
Ahahahahhahahaajha mkuu unaua sanaHawa jamaa hawawezi kuelimika.... Ujinga wao ni wa Asili......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna 1 alinambia huku kwetu kupigwa ni kitu chakawaida tena mpaka unabaki uchi, mie heee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uchi tena !!!!Hahahahaa. Ila wamebadilika kidogo hasa hawa wakurya wa mjini. Wale wa kule nyamongo bado wako na fita ni fita mura mpaka leo
Kujitetea hakutakusaidia kutokuonekana watu ambao hamjaelimika mkuu. Ni ukweli usiopingika kwamba "WAKURYA" hamjaelimika na mna mambo ya ajabu sana kulingana na sababu zifuatazo;Kumbe unaweza ukawa mshamba halafu usijijue badala yake ukaanza kuita wengine ndiyo washamba,