Wakumbukwe wapenzi wa sekondari

Wakumbukwe wapenzi wa sekondari

Mie namkumbuka wa plaimali,aisee bibie I loved ya mucho mucho,tokea unahamia skonga enzi tuko darsa la tatu,ze festi time I set mai eyes on you,I was flabbergasted.its sad that things went south tulipoingia secondary,wishing u the best mami.
 
Dah!!!Nakumbuka wakati niko kidato kuna demu nilimwelewa nikafanya mchakato wa kumvuta aje tukaenae kwenye benchi moja ili nitengeneze mazingira ya kuimbisha nikashangaa rafiki yangu ananifata ananiambia eti kachanganyikiwa amempa yule binti ujauzito na kweli baada ya siku chache ikajulikana yule demu anamimba nilikereka kinoma.
Ilikuwa mwaka sabini na hiyo mzee profesa.?
 
My beloved Bellah nimemisi Sana zile moment tulizokuwa pamoja sekondari. Ukweli nilikupenda sana ila sikuwa na uhakika juu ya hisia zangu kwako. Labda kwa vile tulikuwa na hard time ya kujiandaa na pepa za mwisho O-Level. Nackia wajanja wameshakuwahi na kukuzalisha, nowdays life imekuwa ngumu kwako. Nataman nikupe nafasi tena kwenye maisha yangu ila tatzo huyo mtoto, mawifi zako home wanoko kweli, hawatakubali kuniona nawe.
 
My beloved Bellah nimemisi Sana zile moment tulizokuwa pamoja sekondari. Ukweli nilikupenda sana ila sikuwa na uhakika juu ya hisia zangu kwako. Labda kwa vile tulikuwa na hard time ya kujiandaa na pepa za mwisho O-Level. Nackia wajanja wameshakuwahi na kukuzalisha, nowdays life imekuwa ngumu kwako. Nataman nikupe nafasi tena kwenye maisha yangu ila tatzo huyo mtoto, mawifi zako home wanoko kweli, hawatakubali kuniona nawe.
Mwanaume mzima unashikiwa maisha na dada zako!!! Be a man and go ahead marrying her if you really love her
 
Wewe kweli kilaza wa math!! Hakunaga "ku-drive" kwenye hesabu, kuna ku-derive" tu
Hehehe kuna haja ya kuleta vyeti humu ndani ili tujue aliesoma p/maths na kufanya vyema ni nani nje ya kukalili speling'. But asante kwa kunisahihisha mkuu though haiwezi define kama nilifeli p/maths
 
eheheh halaf sasa hivi hata hakipo et
Nakumbuka class kwetu kulikuwa na binti nae alikuwa na kichogo bac tulikuwa tunamtaniaje, alikuwa kama dada yetu coz alituzidi umri nae alikuwa akitukamata tunakula kifinyo balaa ila akikuachia hapo unamshika tena kichogo then unatoka ya kufa mtu
 
Eeeh Saada wangu weee wa kilombero day sec school.. Hahaaa wakuacheee
 
Madomo zege wa olevel na Advance tupite kimya wakuu,
 
Where are you Oshin?
mwarabu wangu,
Kipindi kile cha Aza boys na Jangwani,
Tuliifurahia mengiiiiiii
 
Hio bahati kwakweli hata mm nilizichezeaga,nakumbuka nilipendwaga na mabinti kama 5 halafu na mm nikawa najidai mgumu kumbe nilikuwa napoteza bahati
mimi mwenyew nilipoteza bahat za madada km watatu hivikwa kujifany napeeeeenda kusom km vile mim nd wa kwanza kusoma hapa dunian,,,, lakin namshukru Mungu kwa yote na pia sijutiii kwa kutokujiingiz kweny mamb hayo……!!
 
Ila watanzania jamani yaani mmeamua kuanzisha uzii huu kuvunja ndoa za watu. Hao akina mariam, cjui Irene ni majina harisi ya watu sasa ukiunganisha na wivu huu wa wanandoa aiseee hamuwatakii mema watu. Yaani mtu anaweza kuwa yuko na wife jina lake Irene afu ajamkuta bikra akadhani ndo anazungumziwa hapa. Jaribuni kutumia vifupisho jamani watu wataachana kimchezo hivi
kama umejua vile, hapa nawaza tuu asijekua Irine wangu, lakini bk nilimtoa mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom