whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
mariamu uko wapi? maana ndo alinifundisha utamu
HahahaNilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu
Nilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu

Hio bahati kwakweli hata mm nilizichezeaga,nakumbuka nilipendwaga na mabinti kama 5 halafu na mm nikawa najidai mgumu kumbe nilikuwa napoteza bahatiNilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu
Ohoooo!!!Hao walimu ndio walikuwa wana kukwichikwichi?
kwanza maza alivyokuwa mkali na shule yenyewe ya masister, nisinge jaribuWala hujamis bal ulikuwa unajua thaman ya mwil wako ,maneno ya humu usijishushie hadh bal mshukuru mungu wako
Anafaa kurudiwaMartin I miss you lemubebez,na zile nywele zangu fupi nyekundu zilizokuwa hazina afya ila bado ukanilavu!!Best of luck huko uliko!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
maza alikuwa mkali balaa na shule yenyewe ya masister sikujua yanayoendelea duniaWala hujamis bal ulikuwa unajua thaman ya mwil wako ,maneno ya humu usijishushie hadh bal mshukuru mungu wako
Ha haaa, Mungu akujalie maisha mema na marefu yaliojaa raha tele![]()
![]()
![]()
Wewe ni G ama M?
are u still doing math so we can talk calculus thing.Wachumba zangu G na M popote mlipo mnakumbukwa sana na J
M sikusahau kwa zile chips kila break time(mapumziko)na mapindi yako yale ya Geography na History
G sikusahau kwa ile biology uliyokuwa unanifundisha(natumaini na wewe unanikumbuka kwa ule ukali wangu wa maths)