Wakumbukwe wapenzi wa sekondari

Wakumbukwe wapenzi wa sekondari

Hehe mimi PGM haya tulete vyeti sasa tuone nani ndalichako anamtambua vizuri
Sasa huko PGM ndo mlifundishwa ku-drive!?

Sahihi ya Ndalichako IPO kwenye vyeti vyangu vya O-level na A-level!! Sihitaji kukuletea hapa maana hata nikileta hutasadiki.
 
Sasa huko PGM ndo mlifundishwa ku-drive!?

Sahihi ya Ndalichako IPO kwenye vyeti vyangu vya O-level na A-level!! Sihitaji kukuletea hapa maana hata nikileta hutasadiki.
Hehehe usijali mkuu mimi hata A-level sikubahatika kufika
 
Asante Mwalimu mkuu A, pale Singida, nakumisi sana dadeki
 
Wapenzi wangu popote pale mlipo

SUZANA HENRY

RACHAEL MASANJA

EUNICE DAUD

NAOMI PAUL

RHODA DANIEL

Huwaga nawakumbuka sana wapendwa wangu na siwezi kuwasahau hata siku na moja.
Naona umedhamiria kuvunja ndoa za watu
 
Daah,nakukumbuka sana Pili,tulitroka shule tukaenda lala Lodge,baada ya kujulikana nikahamishwa shule,wakanihamishia Highlands (Iringa),nilikasirika sana,lakini ilikuwa nafasi nyingine ya kukutana na mrembo Neema N,hakika huyu alikuwa ni moto wa kuotea mbali anapokuwa kwa bed,nilichanganywa na penzi lake mpaka basi,nachoshukuru sikuyumba academically,Baadaye kidogo nikapendwa na Martha L,hakika huyu alikuwa mzuri ila sikumfaidi kwa sababu kwao ilikuwa geti kali kweli kweli.
Kali ilikuwa nikiwa advance,enzi hizo Minaki nikakutana na mtoto mwenye mchanganyiko wa msukuma na Mchaga,yeye akiwa Iringa girls (tulikutana Iringa girls siku ya mahafali),ile kumuona tuna nilijikuta natetemeka kama nimepigwa short ya umeme,ajabu ni kwamba yeye pia alikuwa ameduwaa akiniangalia mm,baada ya muda tulijikuta tumekuwa wapenzi tulioshibana,nlikupenda sana Bertha,kati ya woooote hakika nilikupenda.
Sisahau siku tumekutana Dar kwa ajili ya kusoma TUTION,siku moja tukaghaili kwenda tution tulishinda gheto,hostels za Ubungo nyuma ya NBC,kuanzia asubuhi mpaka jioni,siisahau kamwe siku hiyo,(sijui mupo humu!!!?)
Ni mimi C,nawamiss sana wapenzi wangu,lakini BERTHA,WEWE NI MWANAMKE BORA SANAAA!!
Kwa jinsi ulivyomsifia Bertha hao wengine sijui wanajisikiaje huko walipo
 
Evelyn nakumbuka ulivyokuwa unaniletea maziwa fresh ukiyaiba toka kwenu maana mlikuwa na ng'ombe wa maziwa. Sintasahau kwa mara ya kwanza uliponipa kitu tofauti na sabuni ya Revola niliyokuwa nimeizoea.
 
Kwa jinsi ulivyomsifia Bertha hao wengine sijui wanajisikiaje huko walipo
Mkuu huo ni ukweli mtupu,Bertha alifunzwa akafunzika,alikuwa mwelewa kwa kiwango cha juu sana,amejaa hekima na busara nyingi,anajua kuomba msamaha pindi anapogundua amekosea,tena msamaha wake unaona kabisa kuwa ni wa kutoka moyoni,ukimkosea anakueleza kwa upole kabisa,kiasi kwamba baada ya kuwa naye kumsaliti sikuweza kabisa,nafsi yangu ilikuwa inanisuta sana kila nlipowaza kumtongoza msichana mwingine yeyote,For all three years in relationship,sikuwahi kumsaliti kabisa!!!I MISS MUCH BERTHA KI....TI.!!!!!!!
 
G miss you najua umeolewa kila la heri love😛😛😛
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom