Hehehe mkuu kapicha ka result slip kanahuska hapa ili kuprove kama kweliHahhah
Sijawahi kuwa na F ya maths labda masomo kama kina history
Mimi bora nifeli maths kuliko history, maana ni bla bla tu za kukalili miaka ya wafuHahhah
Sijawahi kuwa na F ya maths labda masomo kama kina history
Nilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu


Hehehe mkuu kapicha ka result slip kanahuska hapa ili kuprove kama kweli
Mimi katika masuala ya kumeza na kujielezea nilikuwa m-bovu sanaMimi bora nifeli maths kuliko history, maana ni bla bla tu za kukalili miaka ya wafu
Ulikuwa/uko vizuri maana sisi wenzio tulikuwa tukiona kipindi cha maths kinakaribia jasho linaanza kutoka kozi hata ku-drive quadratic equation ni tatizo, asante sana aliegundua course ya sheria![]()
![]()
Mimi katika masuala ya kumeza na kujielezea nilikuwa m-bovu sana
Ni bora nisolve swali la calculation kuliko kushuka essay kuhusu kitu fulani
Kumbe ulikuwa na kisogo???popote ulipo Immanuel jamani nimekukumbuka sana maskini hela zako zote ulizokuwa unapewa kwenu na yale ma biskuti ulikua unachuka dukani kwenu ulikuwa unamalizia kwangu..nakukumbuka zaidi sikui ile kwneu pale wakati unaniomba papuchi ulikua unataka kuzimia yani hahahah mwe. najua upo humu .. kile kisogo ulichokua unanicheka na kuniambia umenipendea kisogo nakuambia kwamba hakipo tena sasa hivi😛😛😛😛

Afadhali hata ww umemkumbuka mshikajiMy Andrew, Rest In Peace
He was a very good man. . Apumzike kwa amani jamaniAfadhali hata ww umemkumbuka mshikaji
Wewe kweli kilaza wa math!! Hakunaga "ku-drive" kwenye hesabu, kuna ku-derive" tuUlikuwa/uko vizuri maana sisi wenzio tulikuwa tukiona kipindi cha maths kinakaribia jasho linaanza kutoka kozi hata ku-drive quadratic equation ni tatizo, asante sana aliegundua course ya sheria
