Daah,nakukumbuka sana Pili,tulitroka shule tukaenda lala Lodge,baada ya kujulikana nikahamishwa shule,wakanihamishia Highlands (Iringa),nilikasirika sana,lakini ilikuwa nafasi nyingine ya kukutana na mrembo Neema N,hakika huyu alikuwa ni moto wa kuotea mbali anapokuwa kwa bed,nilichanganywa na penzi lake mpaka basi,nachoshukuru sikuyumba academically,Baadaye kidogo nikapendwa na Martha L,hakika huyu alikuwa mzuri ila sikumfaidi kwa sababu kwao ilikuwa geti kali kweli kweli.
Kali ilikuwa nikiwa advance,enzi hizo Minaki nikakutana na mtoto mwenye mchanganyiko wa msukuma na Mchaga,yeye akiwa Iringa girls (tulikutana Iringa girls siku ya mahafali),ile kumuona tuna nilijikuta natetemeka kama nimepigwa short ya umeme,ajabu ni kwamba yeye pia alikuwa ameduwaa akiniangalia mm,baada ya muda tulijikuta tumekuwa wapenzi tulioshibana,nlikupenda sana Bertha,kati ya woooote hakika nilikupenda.
Sisahau siku tumekutana Dar kwa ajili ya kusoma TUTION,siku moja tukaghaili kwenda tution tulishinda gheto,hostels za Ubungo nyuma ya NBC,kuanzia asubuhi mpaka jioni,siisahau kamwe siku hiyo,(sijui mupo humu!!!?)
Ni mimi C,nawamiss sana wapenzi wangu,lakini BERTHA,WEWE NI MWANAMKE BORA SANAAA!!