SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,890
Kila siku mapumziko kumikuwa na jamaa anauza gubiti. Wakitoa hela wengi naingiza mkono nachomoa.
Siku moja akaniona akanikimbiza akanikamata bwana.
Alinipiga mtama nikaangukia kisogo huku shule nzima inaona. Toka siku hiyo nikaacha wizi wa gubiti.
Sijui gubiti zikipotelea wapi.
Siku moja akaniona akanikimbiza akanikamata bwana.
Alinipiga mtama nikaangukia kisogo huku shule nzima inaona. Toka siku hiyo nikaacha wizi wa gubiti.
Sijui gubiti zikipotelea wapi.