Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Nakumbuka tukiwa darasa la kwanza kulikuwa na yale maswali rahisi,basi mwalimu aliuliza darasa.
Mwalimu;Rais wa kwanza wa Tanzania ni Nye!?
Akitegemea wanafunzi watamjibu rere,basi Kuna mwanafunzi mwenzetu akamjibu
Mwanafunzi: Ku nya
Nalog off Z
Mwalimu;Rais wa kwanza wa Tanzania ni Nye!?
Akitegemea wanafunzi watamjibu rere,basi Kuna mwanafunzi mwenzetu akamjibu
Mwanafunzi: Ku nya
Nalog off Z