Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?


aah jamani mbona mnafurikisha kikombe cha moyo wangu kwa furaha? Laiti kama ingeliwezekana ku- rewind kipindi cha maisha ningerudi hadi wakati wa shule ya msingi!!
 
Nimekumbuka mengi sana lakini kubwa zaidi ni kwenda kulima shamba la mwalimu mkuu, kupalilia hadi kuvuna. It was very interesting manake hakuna aliyekuwa analalamika kuanzia wanafunzi hadi wazazi wenyewe. Ila leo hii things have completely changed hata mwanafunzi kuchapwa tu kwa kukimbia kipindi lazima liwe tifu kubwa. Nway
 
ukifika karibu na nyumbani unaanza kimdalio, cha baba yako, cha mama yako cha dada yako halafu unakimbia.

au tunapinga saliapoo ( ukiwahi kuziona unampiga mwenzako mabao ya mgongoni)

au kuruka kamba
angweke hiyo hiyo angwekwe........... ;

kuwa kuwa mwanangu amina kuwa,
kuwa nikutume kuwa,
majani chai kuwa.................

nilikwenda kwa dada,
nikamkuta shemeji ,
anadishi ugali,
nikadishi kidogo,
funguliarekodi, tukanza kucheza,
Nikacheza kidogo.............................. ha ha haa kweli ya kale dhahabu

ukirudi nyumbani unakuta bibi tukishakula usiku kabla ya kulala lazima bibi atusimulie hadidhi kama akili kufundishwa; nyoka mwenye vichwa kumi na mbili, mtoto wa dawa n.k.
 

Swala ni kukumbuka shule ya msingi iwe umesoma kuzimu au jehanamu. Swa?
 
Nakumbuka ile MIALIMU mianaharamu vitoto vidogo inatumendea..njoo jumamosi kufanya usafi ofisini kwangu...kumbe inataka kukubaka...nyooooo! Nikikutana nayo leo ntaikumbusha..mianaharamu kabisa!
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, Cheyo primary school then Mwenge Practical Primary school--Tabora
 
umenikumbusha mbali sana mkuu, mimi nilikuwa napiga ngoma katika bendi ya chipukizi huko Cheyo na mwenge primary school Tabora mjini-life was fun!
 
Walimu wenye majibu ya mkato mkato..."kaulize mamako"
Kwa kweli jibu hilo halikuwa sahihi.

Kunywa maji wakati unaona bomba limepasuka chini na kuna vyura kibao-chura!!!!
Viboko vitatu asubuhi na vitatu vingine wakati wa kutoka.
 
Nakumbuka mwalimu mmoja aliwakamata wanafunzi wawili (std 3) darsani wakitukanana eti we una m***zi basi mwalimu ile kuingia tu, akasikia akasema haha leo mtaniambia Ma**zi ni nini wakashindwa kujibu. akawapelekeka ofisini, Kufika ofisini akawauliza walimu eti nimewakuta hawa wanatukanana wanaambiana eti we una Ma**zi sasa walimu mimi natataka waniambie hayo Ma*uzi ni nini?

Mwalimu mmoja akajibu mimi ninachojua hayo mav**i ni matunda ya uwemba si ndiyo walimu hicho kicheko kilichotokea ilibidi wale wanafunzi wapigwe viboko viwili tu. hahaha.
 

Yaani nimecheka mpaka nimelia LOL,mie nakumbuka Juma na Rosa,Juma ana dada,dada wa juma ni Rosa,Juma ni mrefu kuliko.......
 

kheh?? Kumbe avatar niliyoikimbia ndio mtumaji wa hii tread pia? Naondoka kama ifuatvyo vuuup!!!
 
Duuhh enzi hizo tution mtawala kwa mng'ong'o, nakatisha mjini yoote toka mitaa ya uhuru mpk mtawala primary kusoma hisabati, hata kuchoka ukirud tuu home tution yazaman jaman
 
Mie nakumbuka SET.

Nimesoma set kuanzia vidudu hadi chuo kikuu!

Hakika, hisabati haikwepeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…