Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 979
- 1,502
Daah!! Njaa,Kujipendekeza kubaya sana...... Nawashauri Vijana wenzangu mkianzisha familia na kupata watoto.... Himizeni watoto wenu wafanye kazi KWa bidii na pia waaminisheni kuwa kazi ndio njia sahihi ya kupata kipato bila fedheha.....Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Walamba Asali wameandaa script ya chapchap yaaan wanapagawa na wamepagarika.Msoma lisala anasemazamani walikuwa wanapata mbolea kwa laki na nusu sasa wanapata kwa sabini huyo anaye mwambia ajiulize hivi zamani zipi? Rais alikuwa nani? Si huyo huyo? Akili za kuambiwa changanya na zako
Ewaa mkumbo tuNina UHAKIKA wa % nyingi tu,kuwa wengi wa hao "waandamanaji " hata kusikia kile alichokiongea Dk Bashiru hawajakisikia,ila wapo hapo 'kuandamana'
🤣🤣Hahaha ccm bwana Kwa maigizo dah
Kwamba Bashiru anawaonea wivu wakulimaManyara wanalima nini huko kukame kila kona
Ati wanasiasa wanawaonea wivu wakulima🤣
Ila unaongea kwakua umepewa kusomaHahahahaha huyo msoma risala anasema zamani sijui zamani gani? Hahahaha sasa sijui hajui kuwa Samia ndio alipandisha bei ya mbolea? Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Msoma risala lazima alisoma na Nape hahaha
Walamba AsaliMama ana watu, wengi sana
Sasa hao ndo wakulima wanaoonewa wivuManyara mvua zinanyesha Kwan?
Huwa ninapenda tuwe nahii hatua, Watanzania Watanzania .Tuwaige wakulima HEWA kuandaa maandamano kupinga mgao wa Umeme!!
Njaaa Mkuu..njaaaa mbayaDaah!! Njaa,Kujipendekeza kubaya sana...... Nawashauri Vijana wenzangu mkianzisha familia na kupata watoto.... Himizeni watoto wenu wafanye kazi KWa bidii na pia waaminisheni kuwa kazi ndio njia sahihi ya kupata kipato bila fedheha.....
SAsa hebu ona kama huyo mzee..... Badala atafutie watoto wake ugali.. eti ana pambana na bashilu.... Hata bashiru mwenyewe hamjui.... Hajui sababu ya KWa nini kasema hivyo BASI tu.. eti anataka aonwe na ma......ma.... Tabu sana.....
Naaam ninasonga mbere kwa mbere mkuu, asante🤣🤣Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Siasa nyepesi sanaBadala ya kufanya haya maigizo wangewajibika kwenye nafasi zao kutatua changamoto za wananchi.
Misuse of resources.
Bashiru amenipa roho moyoni hakikaNjaaa Mkuu..njaaaa mbaya
Hawa watu wa ovyo sana. Sikiwahi kumkubali Magufuli lakini wakati wake mbolea ilikua 45000 mpaka 60000 tena hapo muda wowote ukiitaka unapata sio hii ya ruzuku sijui mpaka ujiandilishe.Msoma lisala anasemazamani walikuwa wanapata mbolea kwa laki na nusu sasa wanapata kwa sabini huyo anaye mwambia ajiulize hivi zamani zipi? Rais alikuwa nani? Si huyo huyo? Akili za kuambiwa changanya na zako
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Haya mambo ni kawaida kwa CCM. Umesahau enzi za JPM yule mzee na jogoo lake, Umesahau yule rasta kwenye vijiwe vya kahawa, nk.Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.