Unabisha alikuwepo?Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako.
Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai?
Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa mno kwenye hadithi hii.
Ndo kama hivi mkuuUnahoji sana tu boss.
Hata kama sikuwepo lazima ni hoji iliwezekana vipiUnabisha alikuwepo?
Thibitisha kuwa unadanganywaUsinidanganye
Nani anakufa vizuri ?Endelea Kutokuamini Utakufa Vibaya Wewe
Nakuhurumia Sana..
By Mchungaji Magembe
Biblia haijasema wazi alikuwa na kazi Gani mleHizo siku tatu zote kwenye tumbo la shark alikuwa anafanya nini?
Cha ajabu hii miuzija inayosimuliwa kwamba ni miujiz tu haijawahi kujirudia mahali popote zaidi ya miaka 2000 sasa. Unajiuliza aliyetenda hiyo miujiza iliyoandikwa ameshakufa au yuko hai?Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako.
Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai?
Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa mno kwenye hadithi hii.
HahahaUna Kuta mtu mwenye Imani kama Yako akiambiwa hiyo story ya Noah ana iamini lakini hapo hapo akikutana na mtu mwingine mwenye Imani tofauti na yake Akimwambia kuwa waislam wakifa wanapewa mabikira 72 anapinga so which is which !?
Hakuna asiyeamini mungu anayeenda kwenye mizimu, labda useme asiyeamini mungu wenu( Abrahamic god),Nadhani hili suala sio exclusive kwa "dini" bali jamii zote zinaamini kuna "higher being" ambayo ni superior!! Ndio maana hata wasio amini Mungu bado wakienda kwa mizimu sababu wanaamini lazima binadamu yupo inferior to something greater.
However, faida ya dini (whether Mungu yupo au hayupo ni mjadala mwingine) ni kuleta ustaarabu duniani na umoja. Sasa imagine kama tuna dini na tupo hovyo hivi just imagine bila kuamini kuna Mungu, kuzimu au mbinguni how evil do you think we'd be.
Itakavyokuwa lakini kinafaa kwa mwongozo wa maisha ya mwanadamu.Cha ajabu hii miuzija inayosimuliwa kwamba ni miujiz tu haijawahi kujirudia mahali popote zaidi ya miaka 2000 sasa. Unajiuliza aliyetenda hiyo miujiza iliyoandikwa ameshakufa au yuko hai?
Mboma hatuoni mingine? Kwa nini alitenda miujiza wakati ule lakini sio nyakati hizi?
Hapa ndio Unagundua Biblia ni kitabu cha Hadithi tu na bla bla kama hadithi zingine
HahahaItakavyokuwa lakini kinafaa kwa mwongozo wa maisha ya mwanadamu.
Kwkweli kwenye miujiza Kuna walakini mkubwa mno ukikaa kwa utulivu unaona chumvi zilikuwa nyingi mno.
Je unaelewa kuwa uchawi nao unatumia definition hiyo hiyo kwa tafsiri sahihi?Kumbuka définition ya Muujiza ni hii: an extraordinary and welcome event that is not explicable by natural or scientific laws and is therefore attributed to a divine agency.
Source: Wikipedia
Biblia yenyewe inasisitiza kuwa samaki huyo alikuwa "aliyetayarishwa na BWANA" (Yona 1:17), yaani, Mungu alimuumba au kumtuma kwa lengo maalum. Hivyo, haikuwa tukio la kawaida,
Ukilazimisha kutumia knowledge ya science kwenye kila kitu utachosha akili yako kuliko unavyostahili.
Mkuu, unachosema hapa ni kuna vitabu vya biblia vimetokana na mawazo ya mwanadamu na si MUNGU. Si ndi
Yes, you are right....Upo sahihi . Kuna vitabu vimetumia mawazo ya binadamu kama vile Mithali au Proverbs kwa kiasi kikubwa ni mfalme Solomoni (Suleiman), hao waandishi wa gospels ukiangalia maandiko yao yanaelekea kwenye events ya vitu vilivyotokea wakati wa Yesu. Unaweza kuona walioandika walitofautiana maandishi yao, wengine waliandika hivi, na wengine wakaandika vile. Kwa hiyo ni mawazo ya binadamu, na maelekezo ya Mungu, yote kuwekwa kwenye maandishi. Tunaita kitabu cha Mungu kwa sababu ni kama dira inayotuongoza, lakini ni interpretation ya kazi za Mungu kwa wanadamu.Mkuu, unachosema hapa ni kuna vitabu vya biblia vimetokana na mawazo ya mwanadamu na si MUNGU. Si ndio?
Mimi unaniulza tena? Mm sikubali kila kitu kama ndo maan nmekuambia kweny biblia tunahaswa kutumia akili zetu sio kuamini kila kitu na nikakupa na mifano sasa sijaelewa mantiki yako ya kuniulza tena swali mimi.Sasa mkuu, twende kama unavyotaka, tuanze kuhoji kwa kutumia Logic ili mwishoni tuone kama msingi wa Logic si kubatilisha imani.
Tuanze na swali jepesi, wewe tumia Logic kujibu kisha tuone mwelekeo wake kiimani.
Uhalali wa Israel kupewa nafasi ya upekee katika maandiko ya biblia ni upi?
Nimekuelewa boss.Ndo kama hivi mkuu
Sasa umeona mkuu, kusema "Biblia ni stori zao" tayari unafuta uhalali wa imani juu ya biblia kwa kuipa tag kuwa ni stori za binadamu na hazijatoka kwa MUNGU. Na ndicho nilichokuwa nataka tuelewane ndo maana nikakuuliza.Mimi unaniulza tena? Mm sikubali kila kitu kama ndo maan nmekuambia kweny biblia tunahaswa kutumia akili zetu sio kuamini kila kitu na nikakupa na mifano sasa sijaelewa mantiki yako ya kuniulza tena swali mimi.
Kuhusu swali lako wa israel kupewa upekee ni kwamba biblia ni story zao na ndo wamejipa upekee huo sababu waliandika izo adithi wao wenyewe, na ilo linadhibitishwa na wao kuzikataa ana kutoziamini zile vitabu vilivoandikwa na wagiriki kwamba viondolewe.
Ni kama tu waarabu wanavojipa upekee kwenye Quran sababu hadhiti zake wameandika wao, ata mm sasa ivi nkianza kuandika hadithi zangu nitajipa upekee naoutaka mimi.
Sure kwanini anunue wakati pulizo Moja tu mtungi umejaa, inawezekana hata hayo magari makali aliyakuta tu parking baada ya maombiBdo
So hapo kwenye kisa Cha Noah Kuna Akili ipi ya maana iliyotumika zaidi ya kusimuliwa tu simulizi na Hiyo simulizi kuwa lebel kuwa Mungu kamuwezesha Noah kutoka salama katika tumbo la samaki aliye mmeza !? Si- kama tu alivyo fanya Tonie kapola nayeye kapuliza mtungoi wa gesi Kwa baraka za Mungu mtungi ukajaa kwanini Noah aaminiwe Tonie kapola asiaminiwe ,
Hoja Yako ya kusema kwamba Tonie kapola kama ana Hela anakosaje hela ya kununua gesi Haina mashiko , Gesi Huwa inajazwa kwenye mtungi wake kwa ujazo maalum yaweza kuwa wakati ambao gesi imeisha hawakuona umuhimu wa kununua kwanza Tonie kapola akaona amuombe mungu amjazie mtungi wa gesi so shida Iko wapi hapo !?
My concern is kama mmeamua kuamini kuwa miujiza Ipo basi endeleeni kuamini tu acheni kuweka double standard mna tuchanganya sisi mashabiki zenu, kama humuamini Tonie kapola so una uhakika Gani kuwa story ya Noah ni kisa Cha ukweli na sio ujanja janja tu wa watu wakiamua kukaa na kutunga hiyo story kama unavyo amini kuwa Tonie kapola ametunga kuhusu yeye kujaza mtungi wa gesi !!? 😁😁
ThibitishaUkweli ni kwamba Yona alifungiwa na mchepuko ikabidi atengeneze story ya kumezwa na samaki. We jaribu sasa hivi, ulale nje huko urudi kwa wife umwambie nilimezwa na ng'ombe akanitema uone balaa lake