Serikali inapata faida gani?
Mpaka Leo haujui !? Anaposimama mwamposa Kwa influence aliyonayo akimuunga mkono Samia katika uchaguzi then akawaambia kondoo wake Samia ni mpango wa mungu wa Israel kuja kuzitawala Tanzania tumpigie kura Samia , Usipo mpigia Samia kura umekwenda kinyume na mpango wa mungu Unajua Nini kitakacho fuata !??
Ndio maana ccm inapofika katika uchaguzi lazima Watembee na viongozi wote wa imani za dini cause wanajua wata gain their followers,
Apart from that Kwa wanasiasa ni rahisi sana kuligawa vipande vipande Taifa lenye waumini wengi wa dini kwa kuwa devide Kwa kutumia itikadi zao na ndio michezo inayo fanywa na USA Kwa washia na wasunni , na ndio mchezo uliofanywa na jakaya kwenye uchaguzi wa mwaka 2011 baada ya kuona kuwa wakatoliki wengi wapo against nae akatengeneza concipiracy Kwa waislam kwamba atawapatia mahakama ya kadhi atakapo ingia madarakani na waislam wengi walimuunga mkono Kwa kumchagua wakiamini Kwamba watapatiwa mahakama ya kadhi ,
Mfano mwingi hai nakupa Baada ya uchaguzi wa mwaka Jana kuisha na samuya alipoona Kuna kundi kubwa la wacatholic ambalo lipo against nae alichokifanya ni kuwatumia bakwata kuanzisha vitisho vya Uvunjifu wa amani Kwa kupitia mgongo wa dini ,
Ghafla tukaanza kuona matamko ya mashekhe mbali mbali walifanya press na kuanza kuwalaumu wakatoliki , unajua lengo lilikuwa ni Nini !?
Samuya alikuwa anafanya balance of power ili wakatoliki warudi nyuma waache kumfuata fuata cause anajua kwamba waislam na wakristo katika Taifa Hili idadi Yao haijapishana sana so ukisha wachonganisha watu hao ni lazima usalama hautokuwepo katika Taifa na in directly way wakatoliki watalaumiwa Kwa kusababisha Uvunjifu wa amani nchini Kwa kuanzisha matabaka ya Imani
Team ya samuya ilikuwa inapush ajenda kamba samuya hapendi kisa ni muumini wa dini ya uislam , unajua Nini Nini kingefuata baada ya hapo ni wakristo na waislam wapumbavu kuanza kuchinjana kanisa katoliki Moja Kwa Moja lingeingia kwenye lawama nzito ya kusababisha crusade nchini
So baada ya zile press za waislam pandikizi Toka serikalini huoni kama kanisa catholic lilirudi nyuma kidogo !? Don't you see !?
Wengi wenu mnaonekana siasa ya Dunia hamja ifahamu vyema 🤣🤣😄
Dini ni siasa za kale zilizoundwa Kwa lengo la kumtawala binaadamu