Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,290
- 10,870
Habari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache
Hilo tu