Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
Ngoja niendelee kukazia kauli yako ''Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni-ZZK"
mwisho wa mjadala!!
Ngoja niendelee kukazia kauli yako ''Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni-ZZK"
Wewe ndio mnyonge, mimi siyo mnyonge, umaskini siyo sifa.Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Kwamba wizi wa 1.5T zilizopigwa na kiberenge siyo tatizo halisi la Watanzania, eti? sounds funny and stupidMnatumwa ndio kwa kuwa hamjawahi kuhoji matatizo halisi ya watanzania na mmekua chanzo cha kuanzisha mijadala isiyokuwa na tija kwa maisha ya kila siku ya mtanzania....
kichwa chako kilivyo chepesi hakioni uhusiano wa hoja kubwa zinazoletwa na wanaotakia mema nchi hii mpaka hiyo hoja iwe inagusa bei ya sukari mtaani kwako. akili mbovu kabisa hizi. we kweli jingalaoFact number moja: Serikali haijawahi kupunguza madai ya deni walilowadai barrick/Accacia ...kama una sehemu ya Taarifa ya serikali inayoonesha hilo iweke hapa jamvini.
Kwa kiashiria hiki kidogo tu ni wazi unadhihirisha kuwa umetumwa kulaghai umma kwa manufaa yako na waliokutuma.
Mnatumwa ndio kwa kuwa hamjawahi kuhoji matatizo halisi ya watanzania na mmekua chanzo cha kuanzisha mijadala isiyokuwa na tija kwa maisha ya kila siku ya mtanzania....yaani mnaanzisha mijadala ya kitaifa katika interests za mabepari na wafabyabiashara walioliibia Taifa.
Ulipotaka Rais atangaze njaa ni janga la kitaifa na ukatuaminisha ni janga ulikuwa hujatumwa?
Kuulizia 1.5T nikukosoa bila Malengo?Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Serikali inayojitambua haitashindwa kutekeleza Agenda zake kwa kukosolewa itashindwa sababu ya WIZI kama wa 1.5 TNi kweli wanatumika kwa maana lengo Lao ni Moja tu;
Kuhakikisha Serikali haitimizi ahadi zake kwa wananchi...
Ila nyie ndugu sijui mnatumiaga viungo gani kufikiri hiki ulichoandika kinajibuje HOJA ya ZittoH. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!
2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!
Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!
kuharibu NachiNiko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Unajua ilipo 1.5T?Tatizo la viongozi wa vyama vya upinzani ni wapiga kelele tu na kuwaonesha wananchi wapi wameonewa na hawana suluhisho kazi kutupa stress tu.........
Wakizijibu kwa mpangilio huo kama Zitto alivyodai basi tutajuwa nani muongo na mkweli, raia tunaumia kumbe labda, narudia labda ni sababu ya uchafu kama huu?! Haiwezekani, mpaka lini?!Duh...Kweli shughuli ipo, ni madai mazito sana sana, yanatutisha raia...sijuwi watayajibu haya?!
Yote yanahitaji maelezo...
Nashangaa wanaotetea serikali yetu hawataki kujibu haya ya Mh. Zitto hata moja?! Sana sana wamebakia kujibu povu tu, tunawaomba wajibu tuhuma moja baada ya nyingine humu kama ifuatavyo, na siyo kukashifu, wakae kwenye hoja, wachambuwe kama kina @kafulila au Kitila Mkumbo, moja baada ya nyingine..
- ...madai ya $490bn ambayo Serikali iliyatoa kwa Kampuni ya Barrick yalishuka mpaka $300m ambazo hazijalipwa mpaka sasa na wala hazionekani kwenye vitabu vya Serikali kama Mapato tarajiwa ( receivables). Vijana wanatania mitandaoni kuwa tumetoka ahadi ya Noah kwa kila Mtanzania na kufikia ahadi ya Balimi 7 kwa kila Mtanzania. Hata hizo Balimi hazijapatikana.
- Hatimaye Serikali imelipa zaidi TZS 60 Bilioni ili Ndege iweze kuletwa nchini.
- Jumla ya madai tunayodaiwa kwenye mahakama za nje ( ninayoyajua mimi na mengine kuthibitishwa na CAG kwenye Taarifa yake ya mwaka 2016/17 ) yanafika Dola za Kimarekani Bilioni 1.48 Sawa na Shilingi Trilioni 3.3 za Kitanzania [ Madai ya Standard Chartered Bank Hong Kong $614m+$148m, Madai ya Syimbion Power $600m, Madai ya Konoike $63m, Madai ya Airbus $59m ].
- ..kutoonekana kwa matumizi ya TZS 1.5T Serikali imejaribu kutumia maneno hayo hayo ya kuwaita wakosoaji kuwa wametumwa.
- Tulipoamua kuzungumzia soko la bidhaa za mbaazi, choroko nk sio kuwa tunainanga Serikali bali tunataka Serikali itimize wajibu wake Kwa raia kufuatia kuanguka kwa soko la mbaazi lenye thamani ya $250m ( zaidi TZS 500 Bilioni) kwa mwaka.
Hahahahaha aisee wanyonge wapi? Nani mnyonge??Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Kwa hiyo waliuza mali ya taifa, kusaini mikataba mibovu, kufanya maamuzi ya kuitia serikali hasara si vibaraka!??? Tuache unafiki, penye ukweli tuwe wakweli. Nigger, puliizi!!Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
MAADUI WA KWANZA WALIKUWA WAISLAM WAKIULIZWA WANAAMBIWA WANALETA UDINI. LEO KKKT KESHO ROMAN CATHOLIC KESHOKUTWA ADVENTIST SIKU INAYOFUATA WALOKOLE. SERIKALI HAINA DINI ILA WANANCHI WAKE WANADINI. ILA IMEJISAHAU KUWA SERIKALI NI WATU NA WATU NDIO WAUMINI WA DINIKuna siku serikali hii itaanza kuwahofia hata wale elite wake!! Maana kwa sasa maadui wanazidi kuongezeka kila uchwao!! Maana ukisema lililo kweli tu! Unakuwa adui.
Eti leo Kanisa KKKT naye ni adui wa serikali, Chama cha wanasheria pia ni maadui! Kanisa katoliki lipo kwenye kundi la maadui! Vyama vya upinzani vyote ni maadui!! Ripoti ya CAG nayo ina chembechembe za uadui!(sijui kuhusu yeye) Diaspora ni maadui!! Eti hata Ridhiwan Kikwete jana alipoonyesha kukerwa na polisi waliomchoma kisu kijana wa Heche naye anashambuliwa!!!
Iko siku wataanza kuuana wenyewe kwa kila mmoja kumuhisi mwenzie ni msaliti!
Polepole nani Nchi hii mpaka awaamulie wana Kigoma!!H. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!
2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!
Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!