Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Na ukipenda kupongezwa kwa kila ufanyalo basi wewe unamatatizo maana huwezi kuwa sahihi kwa kila ufanyalo,
 
Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.

Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.

Kwa kukusaidia zaidi hoja yako kwa kiwango kikubwa inajibiwa hapa;
LINK>>>Cambridge Analytica Played Roles in Multiple African Elections

''Democracy is supposed to mean that the leaders of a nation do what their people want. Most Africans will tell you what we most want is food, water, shelter, medical care and education for our children.

If a country’s leaders are providing these basic human rights to their people they are doing what their people want and practicing democracy. If they are not, if their people are hungry, cold, sick and illiterate then these leaders are not democratic no matter how many times they hold “elections”.

Democracy vs elections is how matters stand in Africa today, and it all boils down to who is cold, sick, hungry and illiterate and who has leaders taking care of their people, first and foremost, those most in need.

Elections in Africa means divide and rule, followed by crisis management, managing the western created crisis to better loot and plunder Africa’s resources, everyday more critical in a world ever more rapidly devouring such''-Thomas C. Mountain is the most widely distributed independent journalist in Africa
Kwahiyo opposition nalo ni neno la kiswahili lilipo kwenye kamusi ya kiswahili?!
Jaribu kuwa makini unapojaribu kuwapotosha watu wenye akili zao timamu humu.
 
Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.

Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.

Kwa kukusaidia zaidi hoja yako kwa kiwango kikubwa inajibiwa hapa;
LINK>>>Cambridge Analytica Played Roles in Multiple African Elections

''Democracy is supposed to mean that the leaders of a nation do what their people want. Most Africans will tell you what we most want is food, water, shelter, medical care and education for our children.

If a country’s leaders are providing these basic human rights to their people they are doing what their people want and practicing democracy. If they are not, if their people are hungry, cold, sick and illiterate then these leaders are not democratic no matter how many times they hold “elections”.

Democracy vs elections is how matters stand in Africa today, and it all boils down to who is cold, sick, hungry and illiterate and who has leaders taking care of their people, first and foremost, those most in need.

Elections in Africa means divide and rule, followed by crisis management, managing the western created crisis to better loot and plunder Africa’s resources, everyday more critical in a world ever more rapidly devouring such''-Thomas C. Mountain is the most widely distributed independent journalist in Africa

Zitto msamehe huyu "aliyechangia" haya maneno hapo juu. Anajaribu kunukuu vitu vingi visivyo na maana. Halafu eti ananukuu kwa Kiingereza..!
 
Unataka usifiwe tu kila siku?
 
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Nitajie mradi mmoja ulioanzishwa na kukamilika kwenye serikali ya magufuli niusifie.
 
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.

Hivi kwa akili yako wewe kuhoji wizi wa 1.5T si ukosoaji wenye lengo la kuboresha?

Unaibiwa, unaacha kusaka mwizi aliyekuibia na kuziba mianya ya wizi ili huyo mwizi asije kuiba tena, kwako wewe unaona hili halina tija bali tukubaliane na wizi tu siyo?

Hayo maendeleo na maboresho yatapatikana kweli kama kiasi kikubwa kama hiki cha pesa za walipa kodi kinapotea tu bila maelezo ya hatua stahiki za kisheria kwa waliohusika na upotevu/wizi huu???

No way!!.... Hata mseme tumetumwa na Donald Trump, semeni tu lakini hatutanyamaza kamwe!!

Si hivyo tu aisee bali kunyamaza na kusifu tu itakuwa ni uwendawazimu usio na tiba hakika!!!

Na sisi wengine siyo wajinga wa kiwango hicho...
 
zitto umeongea makubwa sana katika nchi ambayo tunapita kipind kigumu sana.
kipind cha kitakiwa kusifu tuuu!! sijawahi ona tangu nipate akili timamu. hata huku kitaa tunapotaka kufanya jambo tunaitana na kukaa pamoja kujadiliana ni namna gani litakua. lakn jwa huyu mheshimiwa ni yeye tu
 
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
unakuwaje mshirika wa maendeleo hewa wakati kila uchwao serikal inaborongo, ya jana afadhali ya juzi,ya Leo afadhali ya Jana na ya kesho afadhali ya Leo. ukweli Tanzania hatuna rais, tuna bora rahisi miaka 50+ ya Uhuru maendeleo bora ya mkoloni. siwezi unga mkono ujinga, nitapinga hadi hapo mambo yatakapokuwa kwenye right truck kwa matendo na sio porojo na propaganda zinazofanywa na watawala wa sasa..
 
Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Kweli kabisa, hata ile 1.5T iliyopotea/isiyokuwa na maelezo wala viambatanisho kama sio vielelezo vya matumizi yake,ni vibaraka wa wazungu wamemtumia CAG na Zitto kuichafua serikali...poor you ccm mpya.
 
Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.

Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.
Mkuu hapa ndipo hoja ya Zitto kuhusu majibu ya hoja inapokuwa na nguvu.

Zitto kasema majibu yanapokosekana kuna matumizi ya maneno badala ya hoja

Huwezi kusema ' a girl na Msichana' ni vitu viwili tofauti. Huwezi kusema 'Kamusi na Dictionary' ni vitu tofauti
na huwezi kusema ' Bunge na Parliament ni vitu tofauti'

Lakini pia huwezi kuoanisha maneno katika lugha tofauti na kuyatolea maana unayokusudia.

Ungeweza kutafsiri nini opposition halafu ukaliweka katika mizani na neno upinzani kwa lugha ya kiswahili

Opposition kwa lugha ya kiswahili ni kinzana. Kitu kinacholeta kukinzana kinaleta upinzani. Kwa vyama ndiyo msingi wa neno Upinzani. Neno Upinzani halina maana mbaya, linaonyesha mbadala yaani unaokinzana

Mwisho, kamusi ya kiswahili haiandikwi kwa siku moja. Neno upinzani limekuwepo katika kamusi kabla ya vyama vingi. Hivyo si kweli kuwa neno hilo limetokana na ukosoaji wa wapinzani kwa kipindi hiki.
 
Mh. hoja zako ni za msingi sana kwa ustawi wa Taifa. Ila Watanzania walio wengi wana tatizo la uelewa. Sijui kama watakuwa wamekuelewa. Naona wengine wanatoa mapovu humu yasiyo endana kabisa na hoja zako, wengine bado wanadhani unapinga jitihada za serikali za kuleta maendeleo na wengine bado wanadhani unatumwa na mabeberu…..IQ za wabongo ni shida
 
H. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!

2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!

Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!

H. Polepole ndio anapeleka wabunge huko bungeni? Au mnadhani wananchi wataendelea kuwaangalia mkitoa mabox ya kura vituoni kisha kwenda kuyajaza kama mlivyofanya hizo chaguzi za marudio? tumieni hizo 1.5t kuandaa vijana wa kufanya mauaji dhidi ya wazalendo wa ukweli. Hizo siasa za kishenzi mlizoingiza hapa nchini lazima zitawagharimu tu. Muda utaongea.
 
Kukosoa sio tatizo, Kama unakosoa Kwa staha na kuleta way forward, sio majungu na kupakaziana

Unaweza kuonyesha yapi ni majungu na kupakaziana? Maana sasa hivi kuna namna mnapotosha ukweli wazi wazi baada ya watu kuanza kuweka ukweli hadharani. Hata ww ni mmojawapo ya watu mnaopotosha ukweli kiwaziwazi kwa kutumia uwezo wenu wa kujenga hoja.
 
Kweli kabisa, hata ile 1.5T iliyopotea/isiyokuwa na maelezo wala viambatanisho kama sio vielelezo vya matumizi yake,ni vibaraka wa wazungu wamemtumia CAG na Zitto kuichafua serikali...poor you ccm mpya.
Kigoma ujiji kumepotea sh ngapi??
 
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Ukiona mtu kila siku anataka kutukuzwa basi ujue ameshaanza kujiringanisha na mungu.
 
Uzalendo mzuri ni ;

[Kuikosoa Serikali Yako.
Na.
Kuitetea Nchi Yako]

Kwa Akili zako zote, Nguvu zako zote na Uwezo wako wote.

Kuisifia Serikali kwa mambo mazuri inayofanya, sio lazima sana, kwakuwa, ndio wajibu wake, kutekeleza hayo mambo mazuri, iliyowaahidi wananchi wake, ili ichaguliwe kushika Dola.

Amina.
 
Zitto hapo kwenye makubaliano ya madai ya makinikia unapotosha makusudi
madai ya $490bn ambayo Serikali iliyatoa kwa Kampuni ya Barrick yalishuka mpaka $300m ambazo hazijalipwa mpaka sasa
Tangu lini serikali imekubali kushusha madai yake hadi hicho kiasi ulichosema?
Weka ushahidi.
Mimi nilikuwa shabiki wako sana miaka yako ya dhahabu kisiasa. Lakini sasa unajidhalilisha kwa siasa hizi za kizushi. Unapoteza ushawishi kwa watu wanaojitambua.

Mtu yeyote aliehitimu kuanzia elimu ya msingi na yupo vizuri ktk somo la ufahamu anajua umepotosha kuhusu makinikia.

Unapoanza kuongopa waziwazi kama hivi unasababisha kutoaminiwa hata kwa yale unayo eleza ukweli. Sababu wote tunajua yapo mengi tu ya kweli unayasemea.

Kama una-practice mbinu flani za siasa za kimafia toka ktk vitabu vingi unavyosoma nakusihi zitafakari mara mbili hizo mbinu(nadharia) kabla ya kuzijaribu. Madhara yake kwako ni makubwa kuliko kwa adui wako.

Shame on you.
 
Back
Top Bottom