Pamoja na yote tusi regret.. Ni hatima ambatoNdoa ni chanzo cha hayo mengine yote, laiti ningalirudi Nina miaka 30 nisingeoa Kabisa, na ningekuwa mbali sana, mtu yeyote anayepanga maisha chini ya umri wa miaka 50 au 45, akiwa na mwanamke ajue mambo yanaweza kubadilika mda wowote na akarudi sifuri.
Sina zaidi ya hii ningeshafanya hivyoπππ Brother mshana tumia I'd yako inginee utusimulie..
Just joke
NB. Ulicho KIELEZEA ni UKWELI wa wazi na TUPU.
Siku iz ukiama tu kwisha habariBaba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
Hakika...ni fumbo kubwaMipango, kudra na connection.. Maisha ni fumbo
Mkuu tunaungana nanyi kupiga gambe.
Kweli sikuizi udugu na urafiki umepoa Sanaa.Siku iz ukiama tu kwisha habari
Maprofesa na madaktari π³π³π³
WhyMfanyakazi mwenzio sio Rafiki yako
Mtafute akupe mtajistori yako inafanana na yangu kdg, mshkaji kutokana na kumpa gheto kila akitaka kula mbususu akanambia baada ya six twende j.k.t uhakika wa maisha ni 100% nikaleta ujuaji
jamaa akaenda sasa hivi ana nyota 2 JWTZ mie hapa hadi leo naunga unga mishe mishe
KWELI AISEEBest friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza
O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina
Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
Masumbuko LamwaiHilo jina sio zuri majina huumba
Hakika ukikaa karibu na Uaridi lazima unukieMimi jamaa zangu wauza kokoto pale shimoni...hao ndio wametoboa kabisa. Wengine madiwani π π π π
VERY SURE, VERY TRUE...(7,187) Marafiki wa kweli ni wa utotoni | JamiiForums Marafiki wa kweli ni wa utotoni
O level na primary. Hawa mara nyingi asili zenu zinafanana, eneo, Kabila, Mila dini, wazazi na kuoleana.Best friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza
O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina
Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
Wahivi ndo ninao wataka tu.Nataka marafiki wa kila jumamosi tupo viti virefu