Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,310
Hakika Mkuu, wale wanaitwa Co-workersMfanyakazi mwenzio sio Rafiki yako
Siku ukihama Ofisi ndiyo mwisho wa mahusiano yenu
Hakika Mkuu, wale wanaitwa Co-workersMfanyakazi mwenzio sio Rafiki yako
stori yako inafanana na yangu kdg, mshkaji kutokana na kumpa gheto kila akitaka kula mbususu akanambia baada ya six twende j.k.t uhakika wa maisha ni 100% nikaleta ujuajiAisee mmoja alikuwa ndezi saizi ni captain jwtz alikuwa anaitwa Mangulu yeye tumemaliza six Kaunga jeshi support ya familia ya kutosha saizi anakula mema ya inchi.......
Maisha ni fumbo bila support kutoboa sio rahisi
Baba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.Hakika Mkuu, wale wanaitwa Co-workers
Siku ukihama Ofisi ndiyo mwisho wa mahusiano yenu
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISABaba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
Pole mzee Umenikumbusha mjukuu wa mkuu wa mkoa mmoja mstaafu dogo alikua mtukutu Sanaastori yako inafanana na yangu kdg, mshkaji kutokana na kumpa gheto kila akitaka kula mbususu akanambia baada ya six twende j.k.t uhakika wa maisha ni 100% nikaleta ujuaji
jamaa akaenda sasa hivi ana nyota 2 mie hapa hadi leo naunga unga mishe mishe
Pole mkuu yoteee ni Maisha na kikubwa kwenye urafiki huwa hatuandikiani barua Ila mnajikuta automatically mme connect na kua marafiki wakubwa mpaka mnashangaaWAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
wangu alichomwa na mshkaji wake,😡🥺😭
Hiyo huenda ilikuwa zamani, kwasasa unaweza kupata marafiki kumbe wakawa mmeshikamana kutokana na ofa za beer/msosi n.kBaba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
Baba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
Kweli mkuu wanasemaga pata matatizo uwajue watu/ndugu wako/ zako wa karibu, firisika ujue ya mkeoHiyo huenda ilikuwa zamani, kwasasa unaweza kupata marafiki kumbe wakawa mmeshikamana kutokana na ofa za beer/msosi n.k
Siku ukipata tatizo la kusimamishwa kazi ndiyo utaona rangi zao halisi
Kweli Kuna watu Wana roho NZURII Sana hawana wivu Wala Hila Hawa kwa kimombo wanaitwaga SENT FROM HEAVENMimi kuna co worker tulikuwa wote kituo flani cha kazi, badae tukahama wote.....aisee kanipa connection hadi nimempandisha cheo amekuwa ndugu kabisaa.......
Tuheshimu tu watu, hata on their downfall. Uzuri Mimi sijawahi kujaaliwa dharau.
Haya ndo maneno sasa.Pambana hakikisha una kazi, oa, usiishi ukisema unamtegemea ndugu yako, akipata tuu familia yake basi hao ndo atakaowaangalia zaidi,
Kabisa MkuuKweli mkuu wanasemaga pata matatizo uwajue watu/ndugu wako/ zako wa karibu, firisika ujue ya mkeo
Nataka marafiki wa kila jumamosi tupo viti virefuHaya ndo maneno sasa.
Nipo hapa.Nataka marafiki wa kila jumamosi tupo viti virefu
Hivi nilisha kwambia wewe ni rafiki yangu?, Kama bado niongeze kwenye list.Kabisa Mkuu
Binafsi nimeweza kupunguza idadi ya marafiki kutoka 12 hadi kubaki na wawili tu, nimeona nibaki na wachache ambao tunaweza kubebana pale tunapokwama Kila mmoja
Kuliko kuwa na marafiki 12 lakini ukipata changamoto ya milioni 3 hakuna mwenye uwezo wa kukusaidia
Ila wao wakiwa na shida, wanataka uwasaidie 🙌
Fumbo gumu sana.Mipango, kudra na connection.. Maisha ni fumbo