Ahh walevi hawa aminiki, mwisho wa siku waanze kutu ambia tuwa fumgulie Vinywaji😂😆Sisi tutakuwa wahudumu Ila hakuna kulipwa maake tukipokea malipo chama kitakufa
Ndiyo ndugu yangu😂😂☕️☕️☕️Cappuccino ehh?
DahMaisha...!
Ndio uhalisia mkuu, mimi hata la 3b sikufika.Sio kweli mkuu
Sasa sii ndo uhudumu muheshimiwa Raisi lazima umfungulie mteja beer 😃Ahh walevi hawa aminiki, mwisho wa siku waanze kutu ambia tuwa fumgulie Vinywaji😂😆
Nahisi ka nakujua vile 😂 😁Ndiyo ndugu yangu😂😂☕️☕️☕️
Ahh raisi wa ma jobless pro max aku fungulie beer, bora nife 😁😂Sasa sii ndo uhudumu muheshimiwa Raisi lazima umfungulie mteja beer 😃
Wewe utakaa na wakuu mezanii 😃Ahh raisi wa ma jobless pro max aku fungulie beer, bora nife 😁😂
Mkuu huyo unasema alikua ndezi miaka ya mbeleni usichangae ukimuona akiwa Mkuu wa Majeshi au ofisa mkubwa wa ngazi za juu, Jeshini ukiingia na Elimu ya chini ni rahisi kupanda vyeo mpaka ngazi za juu, ni tofauti na yule anayeingia jeshini tayari akiwa na Elimu ya chuo kikuu, mtu kama huyu aliyeingia na Elimu ya juu anakua alijui jeshi vizuri tofauti na yule aliye ingia na Elimu ya kati anakua ameanzia chini.Aisee mmoja alikuwa ndezi saizi ni captain jwtz alikuwa anaitwa Mangulu yeye tumemaliza six Kaunga jeshi support ya familia ya kutosha saizi anakula mema ya inchi.......
Maisha ni fumbo bila support kutoboa sio rahisi
Walikua na utu kwasababu ya mifumo yao ya malezi tofauti na sikuhizi watoto wabqBaba angu aliweza kua na RAFIKI ZAKE co worker ambao walikua ni marafiki hata baada ya kuhama mkoa na urafiki ulikua kama udugu.
WAZEE WA ZAMANI WALIKUAGA NA UTU SANA NA UPENDO WA DHATI KABISAA KABISA
Nimetoka muda si mrefu hapo. Kigamboni upepo wa bahari unawapa raha sana. Mwigulu awaangalie nanyi muongezewe kodi.😂😂 Joke.Eeeh bahn rafiki wa primary tulikuwa close yaan bandika bandua lakini alikuwa na umimi mwingi sikuwezana naye,
Tukatoka hapo nikaenda ordinary level nikapatana na mshkj mmoja then tukawa na crew ya watu kama kumi,
Mshkj wangu huyo hatukuweza kubond tukashindwana though baada ya kufika fom three alitaka tuendeleze urafiki lakini hapo katikati alikuwa akitembelewa na wazazi wake au his sis, lazima aniite sjui kwann, Ila hatukuwa na ugomvi Ila ni ile tuu me kipindi nilikuwa sipend mambo mengi hivyo naona jau,
Mshikaji tumekuja kuonana chuo from o level, tukawa tupo kiaina tuu tukapotezana Juzi nimekutana nae kwenye magenge ya kunywa supu hapo,
Sasa baada ya huyu kushindwana kama nilivyo sema nilikuwa na jamaangu mwingine Ila hatukuwa na bond kiivyo so tukaanza urafiki,
Katika ile crew nilikuwa nawafundisha, ko kila mtu anataka uwe rafiki ake wanafikia hatua wanapigana ili wakae na mm wakati wa kusoma 😂 utoto Raha sana, basi jamaangu huyu wa pili tuka bond ile crew nayo ikapoteza nguvu
sasa mshkj akienda kwao anasema nna jamaangu hv na hv mamake kaja visiting khee, anataka anione basi ndo urafiki na kuwa sehemu ya familia yao ukaanza
Tukaenda tumeua fom four fresh, picha linakuja Advance kila mtu shule yake me mwanza yeye Dom, basi tukawa tunawasiliana fresh kabisa six tukafuta,
Nakumbuka Arusha nna ndugu kibao Ila nilikuwa sifikii kwa aunt upande wa baba, sio kwa broh wala wajomba wala mama makubwa ni kwa jamaa angu, nimetoka JKT nikapita kwao, nikakaribishwa vzr kabisa,
Baada ya hapo nikasepa kuja Dsm, toka kipindi hiko hatujawah kuonana Tena, zaidi ya simu na WhatsApp
sasa ikafika mwaka jana ukimchek yupo busy, mara hv busy, atapatikana mara chache,
sasa mwezi wa tano Juzi nikamcheki hakupokea simu second time kumcheki akapokea direct proportion nikamuuliza tuna ugomvi? Tuna shida gani mzee ? Mbona simu zangu hushiki ? Basi akaeleza situation nzima ilivyo kuwa me nikamwambia fresh Babu nimekusoma ,
Hata saa hzi muda sii mrefu naona katuma text WhatsApp hapo,
Ila advance sikuwa na rafiki at all, ni ile tuu mmekutana disc au mpo table moja ya chakula basi,
chuo napo aaaah sikutaka mambo mengi nikaona nifokasi na mambo yangu, wana labda disc, au wale tuu mnaenda club lkn sio mtu wa kusema huyu naongea nae jambo serious,
Tunapoelekea kwa ambao hatujaoa rafiki wa kweli, washkj wa kweli naona ni familia unayoenda kuiunda,
Nakumbuka mzee alinambia kadri mnavyokuwa hata ninyi ndg wa kuzaliwa kila mtu atashika njia yake, kila mtu ata focus na mambo yake, hamtakuwa na muda wa kuwa pamoja kama mLivyokuwa watoto,
Pambana hakikisha una kazi, oa, usiishi ukisema unamtegemea ndugu yako, akipata tuu familia yake basi hao ndo atakaowaangalia zaidi,
Jumamosi tulivu kabisa kutoka Kigamboni Dsm,
cc secretarybird Hovering Dr am 4 real PhD
Naam ujumbe mzurii sana bruh,,Nimetoka muda si mrefu hapo. Kigamboni upepo wa bahari unawapa raha sana. Mwigulu awaangalie nanyi muongezewe kodi.😂😂 Joke.
Niliambiwa marafiki utakaanza nao chuo ndio hao utamaliza nao. Hilo nimeprove.
Familia Yako kwa maana ya mke na watoto ndio watu wako muhimu zaidi.
Ni sahihi kabisa.
Wazazi wako ndio wanaokupenda kutoka moyoni na kamwe hawawezi kukuombea mabaya. Hili dhahiri.
Wakati wa dhiki ndio muda rafiki anapatikana. Sio wadau. Wadau ni muda wa maslahi.
Kuna watu Mungu anaweza pia waleta kwasababu maalum. Aidha washike mkono, wakushike mkono au mshikane mikono mvuke salama.
Shukrani kaka Monetary doctor
Nipe code, Kigamboni safi sana.
Yes. Kuko poa, Nimeona. Habari gani leoNaam ujumbe mzurii sana bruh,,
Kigamboni kupo poa na kutulivu kiasi upepo ndo mkali kidogo...
Kwa kweli mkuuWalikua na utu kwasababu ya mifumo yao ya malezi tofauti na sikuhizi watoto wabq