Wako wapi watu wako mliosoma wote

Wako wapi watu wako mliosoma wote

Don’t count yourself out before the game starts.
Apply for that job, even if you doubt you’re enough; let them say no, not you.
While others shrink back, scared of rejection, you step up bold. Never shut your own door.
Go for it, fight for your shot, and prove you’re bigger than your doubts.
Sasa niki apply hizo jobs, chama Cha ma jobless pro max kita baki na nani?.
 
🥺🤔 hatima yake ni ipi huyu mtoto🤔😭😭
1749823941650.jpg
 
Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.

Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana
Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini hatima hazikufanana
Darasa moja mkifanana karibia kila kitu, umri sare za shule, family background lakini hatima hazikufanana
Wakumbuke watu wako mliokuwa nao darasa moja leo hii wako wapi na wewe uko wali
Ulikaa na waziri dawati moja
Ulikaa na jambazi dawati moja
Ulikaa na professor, na daktari na engineer
Ulikaa na marehemu😩😔 na mwasiasa mkubwa na tajiri mkubwa, na msanii marehemu.. Fumbo la maisha.. Fumbo la hatima..!
Wengine walikuwa marafiki wakubwa leo ni maadui wakubwa na kinyume chake
Je wewe uko fungu gani? Uko kundi gani? Je wewe ni mmojawapo wa kujitapa kwa watu kwamba ulisoma na fulani na ulimsaidia sana darasani!?🤔😔 Ama wewe ni mfano kwa wengine
Achana na chuo .. Waangalie watoto wanapomaliza shule ya msingi (huwa wanajiita L.Y) Walivyo na furaha ya hatima. Hawajui nini kinawasubiri
Ni ingizo jipya mtaani kwenye dunia isiyo na huruma
Wanaoendelea ni wengi wanaoishia mwanzoni ama katikati ni wachache.. Mimba, ndoa, wizi, madawa jela, 🥺😭 uchizi, nknk
Vita ya hatima.. Ni vita ya kiroho.. Asili, ndoto, mipango na kudra hubeba hatima zetu

Unakumbuka ulipokuwa unaulizwa unataka kuwa nani maishani!?
Unakumbuka mlivyokuwa mkisimuliana vile utakuwa nani ukiwa mkubwa?
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗View attachment 3367980View attachment 3367982
Nikitoka kazini lazima nipite Mlimani City nipate kahawa lakini sioni watu yan sijui wameishilia wapi
 
Back
Top Bottom