ukileta fyokofyoko unagongeshwa tu afu ndo sababu nyingine sisi wa bara tumkubali kagame tofauti na nyie wa pwani wazee wa soga. mfano unaona mbara mwenzetu jpm anavyomkubali pk tofauti na alivyokuwa mpwani mwenzenu mstaafu. sisi wabara ni kuntema murah!. hii style iko pia china, US, israel, Russia, na ndo maana zile nchi ziko pale zilipo, heshima mbele maendeleo mbele sio kuchekacheka tu kama mstaafu na ndo maana jpm kasema kakuta nchi imeoza!Muuaji namba 1 ni Kagame, huo ukweli hakuna wa kuufuta! Genocide ilisababishwa na yeye kwa kutungua ndege ya Marais, na kwa kumuua kiongozi wake aliekua na akili, kipenzi cha watu Rwekima (kama sijakosea jina). Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, just a matter of time!
Zile tuhuma zilienda mbali sana lakini lisemwalo sana huwa kweli mwishowe pia kagame hafanyi urafiki usio na maslahi kwa Rwanda hata Mara moja yy huwa ktk winwin position na magufuri hana mswalie mtume so picha litakuwa tamu sana baadaeIlifikia mahali hata Lowasa alitukanwa na kushutumiwa kwamba ana ukaribu na Kagame na kwamba wana ajenda zao za siri dhidi yetu watanzania.
Rejea marekebisho ya ktba aliyoyafanya anaweza kubakia mpaka 2035Kagame ni kiongozi mbovu kuliko wote EA, kiongozi ambae haweki mazingira ya nchi yake kutawalika akiwa hayupo! Hakuna kiongozi imara nchi nzima, kwenye serikali wala kwenye chama chake cha RPF ambae anaonekana! Kwa kifupi kama ni ujenzi basi yeye anajenga hema
Ndugu in tz RAIA Wa kigeni wapo wengi wanaupenda sana utz lakini hawawezi kujitenga na asili za tena jf wapo wengi sana ss tunawacheki tuu mada km hizi zinawaumbua bila ya wao kujuaNina hakika wewe sio mtanzania, na kama ni mtanzania basi ni chotara wa kututsi.
Wewe unadhani kikwete alikurupuka kutoa ushauri huo kwa kagame? Wewe unasema ni upuuzi halafu wanyarwanda wakianza kupigana wanakimbilia kwetu, kama hawataki kushauriwa wasitusumbue kwenye nchi yetu, wakae huko huko kwao.
Wenyewe tuko kimya nyie watustsi na warundi naona mnaufakamia Utanzania. Asante Mungu kwa huu uTanznia kila siku nazidi kugundua thamani yakekwa kuwataja tu warwanda ni dhahiri we ni mrundi. utanzania wangu achana nao jali urundi wako. weka sawa kwanza amani ya nchi yenu, umesikia mrundi!
Kujiita mtanzania wakati ni mnyarwanda hakukufanyi uwe mtanzania. Hapa jf mnajiita watanzania wakati hata kiswahili cha primary hamjui kuandika, mnadanganyana wenyewe kwa wenyewe. Watanzania tunajuana.kwa kuwataja tu warwanda ni dhahiri we ni mrundi. utanzania wangu achana nao jali urundi wako. weka sawa kwanza amani ya nchi yenu, umesikia mrundi!
Bora umwambie wewe, halafu wanataka tuwaone warundi ni watu wa hovyo na wao ndio watu wema sana utadhani wanashindana kupewa misaada na Tanzania.Wenyewe tuko kimya nyie watustsi na warundi naona mnaufakamia Utanzania. Asante Mungu kwa huu uTanznia kila siku nazidi kugundua thamani yake
kama unajudge uraia wa watu humu kwa kutetea nchi fulani ama kiongozi wa nchi fulani tambua akili yako inakudanganya! kwa kutumia akili yako utakuta humu kuna wamarekani na warusi ambao nadhani ndo raia wa kigeni wengi zaidi humu jf, pia kuna wakorea, wachina, waisrael, wairan na waarab. ila wanaoniachaga hoi ni wamarekani wenzangu na warusi! make sisi waUS na warusi tunajua hadi mambo ya ndani ya nchi zetu, siraha zetu na uwezo zilionao, siri za serikali zetu na vyombo vyao vya kijasusi tunazijua pia. sisi waUS na warusi ni watetezi wazuri tu wa marais wetu, serikali zetu na majeshi yetu kuliko raia wa kigeni wowote humu JF. ajabu warusi, waUS, wachina, wairan, waisrael,nk sote tunaandika kwa kiswahili!Ndugu in tz RAIA Wa kigeni wapo wengi wanaupenda sana utz lakini hawawezi kujitenga na asili za tena jf wapo wengi sana ss tunawacheki tuu mada km hizi zinawaumbua bila ya wao kujua
Kutete nchi Fulani haikufanyi uwe RAIA Wa hiyo nchi uraia unataratibu zake km unautaka utz fata taratibu km jenerari ulimwengu Mbona yy alifata taratibu na ss ni RAIA na alitoka kwenu hukohuko au uliupatia ktk wale Wa kimbizi waliopewa uraia na kikwetekama unajudge uraia wa watu humu kwa kutetea nchi fulani ama kiongozi wa nchi fulani tambua akili yako inakudanganya! kwa kutumia akili yako utakuta humu kuna wamarekani na warusi ambao nadhani ndo raia wa kigeni wengi zaidi humu jf, pia kuna wakorea, wachina, waisrael, wairan na waarab. ila wanaoniachaga hoi ni wamarekani wenzangu na warusi! make sisi waUS na warusi tunajua hadi mambo ya ndani ya nchi zetu, siraha zetu na uwezo zilionao, siri za serikali zetu na vyombo vyao vya kijasusi tunazijua pia. sisi waUS na warusi ni watetezi wazuri tu wa marais wetu, serikali zetu na majeshi yetu kuliko raia wa kigeni wowote humu JF. ajabu warusi, waUS, wachina, wairan, waisrael,nk sote tunaandika kwa kiswahili!
nimejaribu kuandika kwa akili yako ili akili yako isiendelee kukudanganya na nimeandika 'sisi wamarekani' sababu mie ni pro-US katika mada nyingi humu.
wewe mrundi kujifanya mtanzania hakubadili urundi wako, wewe utabaki kuwa MRUNDI tu. hiv kwa nini hutaki kujivunia urundi wako! yaani umefikia kiasi cha kujiita mwanapropaganda ili upige vizuri propaganda za kujifanya raia wa nchi za watu?! afu mbona striker langu pale jangwani hamis tambwe linajivunia urundi wake na linatikisa nyavu bara balaa kwenye vodacom premier leage! jivunie urundi wako bwana mzee wa propaganda make hata nyie ni watu wa MUNGU sawa eeKujiita mtanzania wakati ni mnyarwanda hakukufanyi uwe mtanzania. Hapa jf mnajiita watanzania wakati hata kiswahili cha primary hamjui kuandika, mnadanganyana wenyewe kwa wenyewe. Watanzania tunajuana.
mimi ni MTANZANIA wa missungwi kijiji cha mondo, kijijini kwetu mtu maarufu alikuwa cool james mtoto wa dandu. wewe umewezaje kunijajiKutete nchi Fulani haikufanyi uwe RAIA Wa hiyo nchi uraia unataratibu zake km unautaka utz fata taratibu km jenerari ulimwengu Mbona yy alifata taratibu na ss ni RAIA na alitoka kwenu hukohuko au uliupatia ktk wale Wa kimbizi waliopewa uraia na kikwete
Hahaha ile keyboard yako inayo type kifaransa siku hizi umeiacha wapi mkuu? Sponsors wamekubadilishia simu nini?hahah, by the way Burundi mnaendeleaje huko?Eti atawatengeneza! Wacha magufuli awaingize site halafu mtashangaa atakachowafanyia. Burundi ina jeshi mkuu, ndio maana waliwaambia AU wakipeleka jeshi litachezea risasi za kutosha, walipeleka? Acha kukariri, waulize mchambawima1 na mng'ato walichokipata walipoenda kufanya ujinga wao. Sasahivi wamebaki ni wanajeshi wa paka wa mitandaoni.
wengi wamebadilika kutokana na mazingira ila kuna baadhi wameamua waje na 'nitoke vipi' nyingine. tumeona wengine wanasema eti ni fursa ya uchumi tu! ukiwauliza huo uchumi zamani ulikuwa wapi? hawana jibu. wengine wameugua kifafa bovu linatoka ukiwauliza tu wanakupachika urwandawameamua kubadilika kutokana na mazingira πππ
Dalili za mfa maji hizo, endelea kutapatapa. Hata uendelee kukaa mwanza bado hakukufanyi uwe mtanzania.wewe mrundi kujifanya mtanzania hakubadili urundi wako, wewe utabaki kuwa MRUNDI tu. hiv kwa nini hutaki kujivunia urundi wako! yaani umefikia kiasi cha kujiita mwanapropaganda ili upige vizuri propaganda za kujifanya raia wa nchi za watu?! afu mbona striker langu pale jangwani hamis tambwe linajivunia urundi wake na linatikisa nyavu bara balaa kwenye vodacom premier leage! jivunie urundi wako bwana mzee wa propaganda make hata nyie ni watu wa MUNGU sawa ee
Huna uwezo wa kutugawa, kaa kimya!ukileta fyokofyoko unagongeshwa tu afu ndo sababu nyingine sisi wa bara tumkubali kagame tofauti na nyie wa pwani wazee wa soga. mfano unaona mbara mwenzetu jpm anavyomkubali pk tofauti na alivyokuwa mpwani mwenzenu mstaafu. sisi wabara ni kuntema murah!. hii style iko pia china, US, israel, Russia, na ndo maana zile nchi ziko pale zilipo, heshima mbele maendeleo mbele sio kuchekacheka tu kama mstaafu na ndo maana jpm kasema kakuta nchi imeoza!
we endelea tu na ramli zako! niende wapi sasa wapi sasa wakati my rocky city ndo jiji bora kabisa afrika mashariki na katiDalili za mfa maji hizo, endelea kutapatapa. Hata uendelee kukaa mwanza bado hakukufanyi uwe mtanzania.
huna uwezo wakunikalisha kimya, endelea na poyoyo zako lakin elewa mr dhaifu si rais tena, saiz ukileta fyokofyoko tutakubomoa hatucheki na kimaHuna uwezo wa kutugawa, kaa kimya!
Sio anti-Kagame ni anti-uropokaji! Tunangoja tu 'atuvugize' nasisi 'tumuvugize'!Nimeanza kujiuliza kwamba wapo wapi wale wapinga Kagame ambao walikua wakichochea uhasama wa Tanzania na Rwanda kupitia Kikwete?
Watu hao walikua ni mafundi wa matusi kwa Kagame na Rwanda yake ilifikia kipindi wakawa wanatafsiri hadi picha za Ma-bodyguard kwamba ni kwa kiasi gani wale wa Tanzania hawamuamini Kagame. Lakini hivi sasa hali imebadirika kabisa, Magufuli na Kagame wameonyesha si tu kwamba wao ni viongozi wa nchi bali pia ni marafiki wanaoelewana na kila mmoja akimkubali mwenzake kiutendaji.
Anti Kagame wapo kimya either wamekosa au wamepoteza maneno ya kuongea. Hawaelewi waya shape vipi mawazo yao dhidi ya Kagame.