Wako wapi wale anti Kagame?

Kagame ni kiongozi mbovu kuliko wote EA, kiongozi ambae haweki mazingira ya nchi yake kutawalika akiwa hayupo! Hakuna kiongozi imara nchi nzima, kwenye serikali wala kwenye chama chake cha RPF ambae anaonekana! Kwa kifupi kama ni ujenzi basi yeye anajenga hema
 

Marais wa Tanzania wanaipenda Rwanda, ndio maana JK alimwambia ukweli Kagame. Pia msidhani JPM kuwa rafiki na Kagame ndio hatafanya ya kuwaudhi wanyarwanda....mipango ya nchi iko pale pale. Juzi Waziri mkuu kafanya ziara mkoa wa Kagera na kusisitiza kufukuza Wanyarwanda na mifugo yao. JPM kateua mkuu wa mkoa wa Kagera mwanajeshi na kumkabidhi jukumu la kudhibiti waharifu katika misitu ya mkoa wa Kagera,...ambao kimsingi walitumwa na Rwanda kujaribu kufanya kama wanayofanya DRC!
 
Kama kweli wewe ni mtanzania tuambie una maslahi gani na rwanda?
napenda sana kagame anavyokulaga sahani moja na wala rushwa, ni tofauti kabisa na mkwere na ndo maana nilikuwa namdharau sana rais wangu yule dhidi ya kagame. lakin sasa hawa maswaiba wawili wananikosha kwelikweli make wote hawachezi na wala rushwa.
haya kama kweli wewe ni mrwanda tuambie una maslahi gani na tanzania?
 
Lete mfano wa wala rushwa aliokula nao sahani moja. Halafu uswahiba wa Magufuli na kagame umeanza lini kama sio umbea tu? Hivi Magufuli akienda kenya unategemea aseme uhuru si swahiba wake ingawa ukweli ni kwamba swahiba wake ni odinga? Magufuli anaweka sawa fursa za kiuchumi sio uswahiba.

Halafu kuhusu kikwete unaonekana ni mjinga sana, wanyarwanda wanamchukia Kikwete kwa hatua yake ya kuanzisha operation kimbunga kukabiliana na wahamiaji haramu wa kinyarwanda huko mpakani.
 
mkwere alimshauri pk acheke na wale ngedere (wauaji) kama yeye anavyochekerea wala rushwa na mafisadi wakati matokeo yake yako wazi ni kuvuna mabua! kagame baada ya kusikia upuuzi ule alikasirika sana. hata angekuwa magufuli ndo kagame asingekubali upuuzi ule na ndo maana unaona jinsi magufuli ambavyo hacheki na wala rushwe, wazembe na mafisadi sasa ataweza kucherea wauaji?! afu acha kabisa kumlinganisha magufuli mtu wa bara na hao wastaafu watatu watu wa pwani
 
hata watanzania tunamchukia kikwete sababu ya kugeuza nchi yetu shamba la bibi. magufuli kasema mara kadhaa kakuta nchi imeoza na amejipa kazi ya kutumbua majipu na tumuombee. muulize magufuli kaanza lini urafki na kagame? au uache unafiki. afu waulize jpm na pk kwa nini wanachukia sana wala rushwa tofauti na kikwete?
kama kweli wewe ni mrwanda tuambie una maslahi gani na tanzania?
 
Jibu swali, acha kuzungusha maneno, jibu swali, sijaomba maelezo.
 
Nina hakika wewe sio mtanzania, na kama ni mtanzania basi ni chotara wa kitutsi.

Wewe unadhani kikwete alikurupuka kutoa ushauri huo kwa kagame? Wewe unasema ni upuuzi halafu wanyarwanda wakianza kupigana wanakimbilia kwetu, kama hawataki kushauriwa wasitusumbue kwenye nchi yetu, wakae huko huko kwao.
 
wewe sio mtanzania ni mrundi pure, kikwete alikurupuka ndiyo, kakariri kila kitu ni kuzungumza wakati vingine ukileta fyokofyoko unabomorewa tu hamna namna. ni lin warwanda wamekimbilia huko kwenu burundi? mie naona nyie warundi na warwanda hukimbiliaga huku kwetu tanzania. afu siku hizi rwanda hawapigani make ukileta fyokofyoko unabomolewa kabla hata hujafanya kitu, lakin kule kwenu burundi kwa kuendekeza ushauri wa mkwere angalia sasa mnavyotifuana.
 
Hahaha kamuua na Bob Marley na Michael Jackson na Nelson Mandela na Idd amin na George Saitoti na Sadam hussein na ghadafi bado haja kuua wewe mpk sasa hivi?
 
Acha upoyoyo, this is cyberspace, we are all netizens, you can not determine a citizen of real space by just quoting a misspelled word. Sasa niambie neno "flani" ni la nchi ipi?
Hahaha eti we are all citizens. Anyway mkuu vp wap hio? Bujumbura au pande za Kinshasa?
 
Hata mimi nimekupuuza zaidi ya 100% vile vile kwa sababu wewe ni kati ya wale shortsighted wanatoa hitimisho basing on wrong assumption
Baada ya kuona kiswahili chako ni shiiiiiiiida, imebd uanze kupiga Abra kadabra kidogo? Eti 'simupendi' kiswahili ya wapi hio rafiki? Longido au?
 
Wewe interahamwe huyo Magufuli anawajua sana na atawatengeneza mpaka mtie adabu maana katoka karibu na ukanda huo huo na hata Kirundi/kinywarwanda anaongea sio mkwere ambaye kiaina inaonekana alikuwa hawaelewi vizuri..yupo Kigali anaadhimisha never again sio Bujumbura kwa wehu wenzako
 
Muuaji namba 1 ni Kagame, huo ukweli hakuna wa kuufuta! Genocide ilisababishwa na yeye kwa kutungua ndege ya Marais, na kwa kumuua kiongozi wake aliekua na akili, kipenzi cha watu Rwekima (kama sijakosea jina). Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, just a matter of time!
 
Af koba nakujua, we wa Nyamiyaga
 
Na kwa kuwataja warundi tu umejidhihirisha kwamba wewe ni mnyarwanda unayejifanya ni mtanzania.
 
Eti atawatengeneza! Wacha magufuli awaingize site halafu mtashangaa atakachowafanyia. Burundi ina jeshi mkuu, ndio maana waliwaambia AU wakipeleka jeshi litachezea risasi za kutosha, walipeleka? Acha kukariri, waulize mchambawima1 na mng'ato walichokipata walipoenda kufanya ujinga wao. Sasahivi wamebaki ni wanajeshi wa paka wa mitandaoni.
 
Usipompenda =Usipomupenda
Namnuku huyo cyberspace
 
Na kwa kuwataja warundi tu umejidhihirisha kwamba wewe ni mnyarwanda unayejifanya ni mtanzania.
kwa kuwataja tu warwanda ni dhahiri we ni mrundi. utanzania wangu achana nao jali urundi wako. weka sawa kwanza amani ya nchi yenu, umesikia mrundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…