Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Sio kweli huyo dogo hakua vzr kiuchumi na umaarufu na J Mo alikua ameshatoka kimziki ivo FA alimshirikisha JMo wimbo Ingekua vipi...dogo akamfungulia Bunda za nyimbo zake Jmo akauona huyo wimbo wa mabinti,ivo akawahi kurekodi huku akibadili maudhuhi wa wimbo bila kuathiri wimbo wa FA huku akitaja majina tofauti na aliyoyataja FA....hapo ndo ikawa chanzo kutokua na maelewano na jmo kumbuka fa hapo anaishi kwa mama zakaria..huku jmo akiwa opposite kijitonyama ndo chanzo cha kujuana
Si kweli mwana fa ndio alicheza faulo kama ukisikiliza nyimbo ya jay moe y mawazo kwenye album yake ya pili ya mawazo ya jay moe hilo jambo alilizungumzia vema
Na akasema mpaka album yake ya ulimwengu ndio mama ilicheleweshwa kuingia sokoni ili mwana fa auze kwanza
Kumbuka album iliingia sokoni miezi 3 baada ya uzinduzi pale diamond jubilee
Ambapo mwisho waliwekwa sawa wakasolve na kwenye hiyo album pia jaymoe akamshirikisha tena mwana fa kwenye nyimbo ya narudi shule
Huku fa akishrikisha kwenye nyimbo ya siend club
 
Wamekua mashangazi..last week nilikutana na Aminata ,maeneo ya Shoppers plaza
Wale wakina fifi walikuwa wanakaa makumbusho sijawaona kitambo sana
Walikuwa wakongo wale,wote wana viumbo vimodo
Kuna dada mmoja alitajwa naye mule
Anaitwa tausi lukokola naye,ila yeye anaishi usa....anakujaga bongo
Yuko njema sana

Ova
 
Back
Top Bottom