Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Kwa nini wao.
Mbona mimi hujaniulizia
 
Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Pia wako wapi akina Lipumba na Mbatia? Nao hawakuonekana kwenye msiba, au kuna aliewaona?
 
Mpango hajakoma tu amekaa bila barakoa wala tahadhari!!!!!! Kweli kusikia kwa kenge ni mpk damu zitoke sikioni,
Sijui mkoje, ooh mbona Mpango haonekani adhalani - mkionyeshwa huyu hapa - oooh, mbona hajavaa barakoa!! Baadhi yenu mnatamani sana baraza lote lipukutike - nyie watu wa ajabu sana.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom