black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 968
ramri chonganishiKomenti limesimama kinyamwezi sana naiwe hivyo Mungu wa mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ramri chonganishiKomenti limesimama kinyamwezi sana naiwe hivyo Mungu wa mbinguni
Kwahiyo na wewe unajiona eti umechangia kwa kutafakari !!Nenda Muhimbili Hospital kwenye wodi ya wagonjwa wa "KUPUMUA KWA TABU" kawaulizie. Au piga simu katika Wizara zao za kazi kupata taarifa zao.
Kwa nini wao.Wakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Na wewe kesho uanze kupumlia mashineMpango anapumulia mashine.
Labda ameshapata Heshima zake za mwisho kutoka kwa ndugu zake na majirani maana yeye hakuwa kipenzi chao cha kuzungusha mitaani kama bidhaa inatafuta wanunuzi.Jana Mkuchika hakuonekana kutoa heshima za mwisho
To die is very easySahizi unakaa unajiuliza sijui nani anafuata mimi au ww ila tunapitia kipind kigumu sana
Mbona alikuwa na mumewe kwenye kuagaWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Watu wa Kigoma wabishi kupindukia.Mpango hajakoma tu amekaa bila barakoa wala tahadhari!!!!!! Kweli kusikia kwa kenge ni mpk damu zitoke sikioni,
Pia wako wapi akina Lipumba na Mbatia? Nao hawakuonekana kwenye msiba, au kuna aliewaona?Wakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Sijui mkoje, ooh mbona Mpango haonekani adhalani - mkionyeshwa huyu hapa - oooh, mbona hajavaa barakoa!! Baadhi yenu mnatamani sana baraza lote lipukutike - nyie watu wa ajabu sana.Mpango hajakoma tu amekaa bila barakoa wala tahadhari!!!!!! Kweli kusikia kwa kenge ni mpk damu zitoke sikioni,
Who knows kaangalie hospitaliWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Anafanya nini hapo huyo superspreader?Dr. Mpango huyo hapo akiwa Dodoma Jana. Acheni kuzusha mambo nyieView attachment 1732768
Ana haki ya kuuliza kwa sababu ni viongozi wake .Una nasaba nao? ....Kwanini hao?
Hapo wanaambukizana vimelea tu vya Corona halafu wanadai wanahujumiwa.Dr. Mpango huyo hapo akiwa Dodoma Jana. Acheni kuzusha mambo nyieView attachment 1732768
Anawapumulia tu wenzake sumuMpango hajakoma tu amekaa bila barakoa wala tahadhari!!!!!! Kweli kusikia kwa kenge ni mpk damu zitoke sikioni,
Lipumba ana hasira alipewa ahadi hewa ya viti ishirini vya Ubunge,siku hizi anakomaa na Tume Huru na Katiba Mpya tu.Pia wako wapi akina Lipumba na Mbatia? Nao hawakuonekana kwenye msiba, au kuna aliewaona?
Wana jambo laoSijawaona hawa..
Nape
Lipumba
Membe
Ingependeza zaidiSijui mkoje, ooh mbona Mpango haonekani adhalani - mkionyeshwa huyu hapa - oooh, mbona hajavaa barakoa!! Baadhi yenu mnatamani sana baraza lote lipukutike - nyie watu wa ajabu sana.