Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Ngoja niache wino wangu humu, najua ntapata updates zaid humu🤐🤐🤐
 
Banza stone atawaua wengi kwa maamuzi yake ya kibwege cabinet yake inaisha taratibu aagize chanjo Corona s ugonjwa wa kusadikika upo

Nna ndugu yangu n mbunge viti maalum ananiambia siyo plan tu list n kubwa ila ndio hvyo anashindwa kuongea
 
Nilitaka kuandika kuwa ...mmoja kati ya hao wanaouliziwa amesharudisha namba........... nisaidie Mkuu
Tutaimba pambio moja tu mkuu, ni suala la muda tu😪
Banza stone atawaua wengi kwa maamuzi yake ya kibwege cabinet yake inaisha taratibu aagize chanjo Corona s ugonjwa wa kusadikika upo

Nna ndugu yangu n mbunge viti maalum ananiambia siyo plan tu list n kubwa ila ndio hvyo anashindwa kuongea
 
Small minds discuss people!
These are not "people"-as you seem to suggest. Hawa ni viongozi. Wanaishi kwa kodi zetu. Wanatuhusu! ndo maana hawajakuulizia wewe au mimi...sisi ni "wanyonge" kwa maelekezo maalum ya JPM. As long as unaishi kwa kodi za wengine. Maisha yako ni halali ya wanaokutunza.
 
Kwani wao hawalipi kodi?,kama wanalipa fahamu wanajitunza wenyewe,wewe ni small mind tu
 
Kwani wao hawalipi kodi?,kama wanalipa fahamu wanajitunza wenyewe,wewe ni small mind tu
Mkuu Ulisoma Civics / Uraia au hata somo la siasa kipindi kile ?

Kodi anayolipa yeye je ndio inakulisha wewe ?.., Viongozi ni watumishi wa wananchi ndio kazi waliyopewa kuwatumikia wananchi kwa ujira ambao unatokana na hizo kodi za mwananchi..., Sisemi ndio aweseme vibaya ila huenda kuulizia mbona hawaoni wakifanya hio kazi wanayolipwa kuifanya sidhani kama ni kosa

Hayo mengine huenda anayofikiria huenda ndio yasiwe ubinadamu (ila kuuliza pekee) technically sio kosa tena ndio ufuatiliaji / wajibu wake kama mwananchi kuangalia kama anapata value for his/her money
 
Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Huko bungeni ndiko jicho la kupikia changamoto ya upumuaji liliko!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom