Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Kwa hiyo ndio umenisaidia ngeli Mkuu? Nimekuomba lakini maana sie wengine ni elimu ya ngumbaru.
Nisaidie tu Mkuu wangu... nakuomba.
Chief naomba unitag akikujibu nahitaji kujifunza pia.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.

Kama wana lolote linalo wasibu, kama binadamu, tuwaombee mema. Ila pengine wana majukumu mengine zaidi ya haya tunayowaona wakifanya
 
E mungu sikia kilio chetu. Jpm amerunyima ajira sisi wanyonge tunasoma kwa taabu halafu wanapeana vyeo walewale waliokwishaajiriwa sisi tunakufa kwa utapia mlo. E mungu waue wote ili nasi tupate ajira. Jpm naye mreatishe in peace plz
Komenti limesimama kinyamwezi sana naiwe hivyo Mungu wa mbinguni
 
Kaka COVID-19 kukuingia ni haraka sana ila kitoka ni shughuli pevu.
 
Dr. Mpango huyo hapo akiwa Dodoma Jana. Acheni kuzusha mambo nyie
Screenshot_20210323-200354.jpg
 
Wewe unataka tamko LA serikali kuna corona kama hufuati taratibu za kujikinga huwezi salimika,acha siasa za kijinga unazojazwa kwenye akili yako.NARUDIa...
Vaa barakoa
Nawa mikono na sabuni kwa maji tiririka
Tumia sanitizer
Epuka msongamano
Keep social distance
Kaa nyumbani kama hina safari ya ulazima
Hayo hapo juu sio Tina yatakusaidia wewe na uwaambie familia yako.
Kutangaziwa haiwezi kukusaidia kitu wewe kondoo
its better& profitable time for our government leaders to come na kukuri corona ipo na sio kama wanvyopiga juu juu,vaeni barakoa n.k nakumbuka awamu ya kwanza uzito wake wa kutangaza presence of covid kulipunguza ongezeko lake na hatimaye tulishinda vita.wajeeee
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom